Mtayarishaji wa muziki nchini Paul Matthysse 'P Funk' amebariki binti yake Paula Paul kubadili dini na kuwa Muislamu huku akimchagulia jina la Sheila.Hayo ni baada ya mwanamuz...
Baada ya miaka mitano akiwa kama Mtangazaji wa Radio, Ray C aliamua kujaribu bahati yake katika Bongofleva, basi sauti yake nzuri, nyembamba na ya kuvutia pamoja na uchezaji w...
Ningekuwa S2Kizzy nisingebishana na mtu yeyote anayesema S2Kizzy sio prodyuza mkali. Nisingebishana na mtu yeyote anayekataa kukubali kwamba kati ya ‘hit song’ zot...
Jarida maarufu Duniani 'Wealth' linalojihusisha na kutoa ripoti mbalimbali kuhusu utajiri na umiliki wa mali kwa watu maarufu duniani. Limetoa orodha ya watu maarufu wanaopoke...
Michel Lotito maarufu Monsieur Mangetout ‘Bwana mla kila kitu’ kutoka Ufaransa aliingia katika kitabu cha Rekodi ya dunia Guinness, baada ya kuweka rekodi ya mtu a...
Peter Akaro
Imekuwa ajabu kuona wimbo wa Rayvanny, Nesa Nesa (2024) uliotoka takribani miezi mitatu iliyopita ukirejea tena katika chati na sasa challange zake zimeshika kasi ...
Takribani miezi mitatu sasa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hususani TikTok na Instagram wamekuwa wakitumia wimbo wa ‘Halali’ katika machapisho ya...
Kwa mara ya kwanza mwingizaji na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amezungumza kuhusiana na kesi inayomkabili mwigizaji mwenzie Joice Mbaga 'Nicole' ambaye alifunguliwa kesi ya...
Mwigizaji Coletha Raymond amewajia juu wanaomkosoa kwa kwenda kanisani huku amevaa suruali.Mwigizaji huyo ambaye alichapisha video kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonesha...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva na CEO wa Next Level Music, Rayvanny ameweka wazi kuwa wakati Mbosso amepanga kuondoka WCB alimfuata na kumuomba ushauri.Akizungumza na waandishi wa...
Mwanamuziki Diamond Platnumz mbali na kutoa ngoma kali kama ‘Komasava’ lakini pia anatajwa kuiunganisha Bongo Fleva na muziki wa Congo. Huku akilete ladha tofauti ...
Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria Asake, amejikuta katikati ya utata na mashabiki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambao wametishia kumfungia msanii huyo kufanya matam...
Usiku wa kuamkia leo zimegawiwa Tuzo za Iheart Radio Music Award, zilizofanyika katika ukumbi wa Dolby Theatre, Los Angeles Marekani zikiongozwa na mshereheshaji LL Cool J. Hu...
Idadi ya watu wanaotumia vipodozi hapa nchini ni kubwa hasa kwa wanawake. Hata hivyo, wanaume nao baadhi wamekuwa wakitumia kwa ajili ya kujiweka katika hali nzuri kimwonekano...