28
Lebron akataa mwanaye kumuita baba wakiwa uwanjani
Baada ya LeBron na mwanaye Bronny James kusainiwa katika timu moja ya mpira wa kikapu ya Lakers nchini Marekani, LeBron ametoa ufafanuzi jinsi mwanaye atakavyomuita wakiwa kwe...
13
Taylor Swift akataa kulipwa tsh 23 bilioni
‘Rapa’ kutoka nchini Morocco French Montana amedai kuwa mwanamuziki na bilionea Taylor Swift alikataa kufanya show katika sherehe binafsi za Falme za Kiarabu ambap...
20
Ice Spice akataa kufanya kolabo na Kanye
Baada ya mwanamuziki Nicki Minaji kukataa kuingiza verse kwenye ngoma ya Kanye West iitwayo ‘New Body’, na sasa ni zamu ya ‘rapa’ Ice Spice naye amerip...
03
Akataa kupooza, akimbia kilometa 10
Baada ya kupooza na kuambiwa hatoweza kutembea tena na madaktari mwanaridha Tim Marovt, aliwashangaza wengi baada ya kurudi tena kukimbia kwenye marathoni kwa kilometa 10 huku...
28
Cr7 akataa ‘penati’ ya mchongo
Mchezaji wa 'klabu’ ya Al Nassr, #CristianoRonaldo amekataa ‘penati’ aliyokuwa amepewa na refa kwenye mchezo wa ‘klabu’ bingwa bara la #Asia siku...
24
Lil Wayne na The Rock wakataa sanamu zao
Mwanamuziki wa Hi-hop kutoka nchini Marekani, #LilWayne inadaiwa kukataa muonekano wa sanamu lake ambalo lipo katika makumbusho ya #Wax mjini #Hollywood nchini humo. Kwa mujib...
29
Akothee akataa kushirikishwa vita aliyoanzisha Khaligraph
Mwanamuziki kutoka #Kenya, #Akothee, awakataa wakenya wenzake waache kum-tag kwenye kauli zao za kudhihaki muziki wa Tanzania. Akothee amekataa kuingilia vita hiyo ya kumuziki...
28
Harmonize awakataa wasanii wa Bongo wasiyoimba kingereza
Mwanamuziki wa BongoFleva #Harmonize leo mapema ameibuka na kusema kama msanii wa Tanzania hana wimbo wa kingereza asimuongeleshe hiyo ni baada ya wimbo wake wa #SingleAgain k...
14
Aliyesafiri kwa baiskeli siku nane akataa pesa za Davido
 Kijana Emmiwuks aliyepata umaarufu mkubwa baada ya kusafiri kwa siku nane kwa kutumia baiskeli ili aonane na nyota wa muziki Nigeria, Davido amekataa kutuma ‘akaun...
30
Marioo: wananitaka, mimi siwataki
Penzi  la #Paula na #Marioo limeonekana kuendelea kunoga hadi kupelekea wawili hao kushindwa kuficha hisia zao. Licha ya kuwa na maneno mengi kutoka kwa  baadhi ya w...
26
Diamond: sipendagi kutoa nyimbo
Star wa muziki nchini Diamond ame-share baadhi ya picha zikionesha wimbo ambao ameshirikishwa na Jux #Enjoy inavyofanya vizuri kupitia platform mbalimbali huku akiandika ujumb...
15
Amchoma kisu mwanafunzi mwenzie kisa kakataa kufunga nae ndoa
Mwanaume mmoja kutoka nchini Misri aliyefahamika kwa jina la Mohamed Adel amehukumiwa adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Mwanafunzi mwenzake w...
02
Al Pacino akataa ujauzito wa mpenzi wake
Wiki hii bana kumekuwa na mambo mengi sana baada ya mpenzi wa kikonge muigizaji Al Pacino kuonekana kuwa na ujauzito na mzee huyo kutarajia kupata mtoto wa nne, hivi karbuni k...
01
Sudani yagoma kusitisha mapigano
Wajeshi nchini Sudan siku ya Jumatano wamevunja makubaliano na vikosi vya nchi hiyo vya RSF na kuongeza muda wa makubaliano ya usimamishaji mpya wa mapigano wakishutumu kukiuk...

Latest Post