Baada ya mwanamuziki kutoka Kenya na mzazi mwenzie na msanii Diamond, Tanasha Donna kukoment utani kwenye moja ya video ya Harmonize, hatimaye Konde amefunguka ukaribu wake na...
Mastaa mapacha wa shoo ya uhalisia 'Reality Show Big Brother Naija’ kutoka Nigeria Wanni na Handi Danbaki wameweka wazi namna ambavyo wanaume wanawasumbua kwa kuwatongoz...
Mwanamuziki wa Marekani, #UsherRaymond amemtaka mwanawe wa kiume aitwaye Naviyd aingie kwenye muziki mapema na kujisimamia mwenyewe akiwa na umri wa miaka 15.
Inaelezwa kuwa U...
Mwamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido amemwalika harusi yake aliyekuwa Rais wa shirikisho la Soka la Nigeria, NFF #AmajuPinnick ingawa walikuwa katika mzozo wa kisheria.
Taa...
Mume wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Simi, #AdekunleGold amefunguka kuwa na ugonjwa wa Sickle Cell ambapo ameweka wazi kuwa umekuwa ukimsumbua kwa muda mrefu.
Tovuti ya ...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West ameripotiwa kuchunguzwa na polisi wa LAPD kufuatia tukio lililotokea usiku wa Jumanne baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kums...
Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti iliyotolewa na New Savings Survey, inaonesha kuwa 47% ya wazazi nchini Marekani, wanaendelea kutoa msaada wa kifedha kwa watoto wao, ambao wame...
Ikiwa imepita miezi sita sasa tangu mwili wa marehemu mwanamuziki wa Nigeria, Mohbad kufukuliwa, sasa imeripotiwa kuwa matokeo ya uchunguzi wa maiti hiyo yatakuwa tayari wiki ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Bruce amesema wakati yupo BSS, alikuwa anaumizwa na majibu ya Master J, lakini hadi sasa wapo sawa kwani anaamini alikuwa anamjenga na si vinginevyo...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #ASAPRock amefunguka mbele ya mashabiki juu ya ujio wa Album mpya ya mpenzi wake #Rihanna baada ya kuulizwa na mashabiki nchini Ufaransa.
Kw...
#DianaArmstrong ambaye anashikilia rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kwa kuwa mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi ameeleza jinsi gani anajisafisha wakati a...
Aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah ameeleza kuwa kwa sasa hayupo tayari kuolewa na mwanaume yeyote yule.
Rushaynah ameyaeleza hayo baada ya shabiki kumtakia kheri kwenye ...