Ukiwa ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii basi fika utakuwa umeshakutana na video ya binti huyu anayefahamika kwa jina la Lydia Marley ambaye aliwavutia wadau na mastaa weng...
Uzuri au ubaya wa sanaa ya maigizo hubebwa na stori au wahusika wanaowasilisha maudhui katika kazi hiyo. Wakati mwingine wahusika huvaa uhalisia hadi kupelekea jamii kuamini n...
Kesi inayomkabili rapa wa Marekani Lil Durk iliyopangwa kusikilizwa Januari 7 imehairishwa hadi Oktoba 13, 2025 kufuatia na makubaliano yaliyofanywa kwa pande mbili wanasheria...
Mwanamitandao kutoka Uswisi aitwaye Jocelyn Wildenstein maarufu kama "The Cat Woman" Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.Taarifa ya kifo chake imethibitisha na mpenzi wa...
Mkali wa Afrobeat, Burna Boy ametoa maelezo sababu ya kushuka jukwaani baada ya shabiki kumvamia kwa kudai kuwa muda wake ulikuwa tayari umekwisha.Utakumbuka kuwa msanii huyo ...
Mwanamuziki Rihanna amemjia juu shabiki mmoja aliefahamika kwa jina la ‘Lorenzo Hirmez’ baada ya shabiki huyo kumwambia Riri anakomwe.“Tunahitaji album komwe...
Nyota wa muziki kutoka Marekani, Beyonce ameweka wazi utaratibu wake wakufanya tambiko kila anapomaliza mwaka ambapo hulifanya kwa kujirusha katika bahari.Imeripotiwa kuwa Bey...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Anjella ameweka wazi kuwa kwa sasa anaacha kabisa kuimba nyimbo za Bongo Fleva huku akidai kuwa anarudi kumtumikoa Mungu.“Bye Bye Bongo...
Msanii kutoka Jamaica, Shenseea alilazimika kukatisha show na kushushwa jukwaani baada ya kuzuka vurugu katika tamasha la RahaFest lililofanyika usiku wa kuamkia Leo nchini Ke...
Baada ya Mfululizo wa msimu wa pili wa Squid Game kufanya vizuri mara tu baada ya kuachiwa, wasambazaji wakuu wa filamu hiyo Netflix wametangaza ujio wa Msimu wa 3 utakaotoka ...
Mwanamuziki kutoka Marekani Rihanna amefunguka kuwa ameumaliza mwaka 2024 bila ya kuonja pombe ya aina yoyote ile.Riri ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa ku-...
Albamu maarufu ya SZA inayofahamika kama SOS imerudi tena kwa kishindo ambapo imeshika nafasi ya kwanza katika chati ya Billboard 200, ikiwa ni miaka miwili tangu kuachiwa kwa...
Mwanamuziki anayetamba na Album yake ya ‘Peace and Money’ Zuchu ameripotiwa kushika namba moja nchini Zimbabwe kupitia wimbo wake wa Kwikwi.Kupitia tovuti ya iChar...
Ikiwa ni desturi ya baadhi ya mastaa na watu mashughuli ku-share orodha ya ngoma walizopenda kusikiliza kwa mwaka mzima, naye mfanyabiashara Majizzo hajakaa kinyonge amedondos...