Filmu iliyochezwa na marehemu mkali wa Hip Hop Marekani Tupac Shakur iitwayo ‘JUICE’ imetimiza miaka 33 ambapo ilitoka ras...
Aliyekuwa mhudumu wa shirika la ndege la ‘Alaska Airlines’ Nelle Diala amefukuzwa kazi baada ya video yake akiwa anakatika...
Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazam...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na wataalamu kutoka Ufaransa Jean-Marie Robine na David Sinclair unaeleza kuwa wanaume wafupi wanais...
Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Busta Rhymes ameripotiwa kujisalimisha kwa polisi, baada ya kumpiga mfanyakazi wake aitwaye Da...
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles katika mi...
Mwanamuziki Zuchu ametuma barua ya wazi kwa bosi wake na msanii Diamond kufuatia na yanayoendelea katika mitandao ya kijamii kuhudiana...
Baada ya miaka miwili ya kutengana na aliyekuwa mke wake, Achraf Hakimi amefichua kwamba talaka yake na Hiba Abouk ilimfundisha mambo ...
Mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan ameripotiwa kufanyiwa upasuaji wa dharura katika Hospitali ya Lilavati jijini ...
Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa...
Jumapili ya Januari 12, 2025 mpenzi wa msanii wa muziki wa RNB, Juma Mussa 'Jux', Priscilla Ajoke Ojo ametua Tanzania akitokea kwao Ni...
Mwanamuziki anayetamba na albumu ya ‘Peace of Money’ Zuchu amemtolea povu kaka wa mwanamuziki Diamond, Ricardo Momo baada ...
Hit Maker wa 'Kautaka', Jaivah ameweka wazi kuwa, kutokana na thamani yake kupanda kwa sasa hafanyi shoo chini ya shilingi milioni 50 ...
Rapa kutoka Marekani Kanye West ameonesha ukubwa wake kwenye biashara, hii ni baada ya kuripotiwa kupata mauzo ya dola milioni tatu ku...
Peter AkaroNdivyo tunaweza kusema kufuatia Diamond Platnumz kuendelea kuwa kinara wa mambo mengi katika tasnia ya muziki hasa ule wa B...
Gemu ya Hip-hop Tanzania kwa sasa ina majina mengi ya wasanii wanaofanya vizuri hususani wa kizazi kipya ambao kwa pamoja wanaitwa 'Ne...
Kwa kawaida tumezoea kuona kuwa wasanii hutunga na kutoa wimbo kwa ajili ya kufurahisha na kuburudisha jamii, lakini hii ni tofauti ku...
Mawakili wa utetezi wa Diddy wametoa hati mpya Mahakamani ya kupinga madai ya kuwa video zinazomuhusu rapa huyo na aliyekuwa mpenzi wa...
Baada ya mwanamuziki kutoka Marekani Usher, kuwa mshauri wa muda mrefu kwa msanii Justin Bieber na kuzindua kipaji alichonacho kwa jam...
Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada, Drake ameripotiwa kufuta kesi aliyoifungua dhidi ya Spotify na Universal Music Group baada ya...