Rais wa Yanga na waziri wa michezo Rwanda

Rais wa Yanga na waziri wa michezo Rwanda

Rais wa ‘klabu’ ya Yanga Eng. Hers Said amekutana na Waziri wa Michezo Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda Paul Kagame.

Ambapo Eng. Hers ametoa ‘jezi’ ya Yanga kwa Rais Kagame huku akidai kuwa lengo la kutoa ‘jezi’ hiyo ni kujenga mahusiano mazuri, kujitangaza na kuongeza thamani ya brand. Jazi hiyo imepokelewa na Waziri wa Michezo nchini humo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags