Utafiti unaeleza kuwa mwanaume hutumia masaa 7 chooni kwa mwaka

Utafiti unaeleza kuwa mwanaume hutumia masaa 7 chooni kwa mwaka

Wooooiiiih! Make hapa kwanza ncheke bwana bwaana, kwa mujibu wa tafiti mbalimbali unaonyesha kuwa wanaume hutumia masaa 7 kwa mwaka kukaa chooni kwa ajili ya kutafuta amani na utulivu.

Watafiti mbalimbali walifanikiwa kuwaliwahoji zaidi ya wanaume 1000 na kugundua kundi kubwa la wanaume hutumia maeneo ya faragha kama choo kwa ajili ya kuepuka kelele mbalimbali na kutumia simu zao bila kusumbuliwa.

Hahahaha! Haya wewe mwanangu sana huwa unatumia muda gani ukiingia chooni? Embu dondosha komenti yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags