Maneno ya Mo Dewji kwa Sakho baada ya ushindi

Maneno ya Mo Dewji kwa Sakho baada ya ushindi

Dunia nzima sasa inajua mchezaji Pape Ousmane Sakho ameibuka kidedea kwa kufunga goli bora la CAF.WanaSimba duniani kote wamelala mororo kabisaa na hata hivyo, aliyekuwa muwekezaji mkubwa sana wa Simba, Mohammed Dewji maarufu kama MO ametoa neno kuhusu ushindi huo.

Kupitia page yake ya Instagram, MO alisema kuwa,

"Wanasimba na Watanzania tunajivunia mafanikio yako mchezaji wetu Pape Sakho. Hongera kwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la CAF 2022 na asante kwa kuleta heshima ya kipekee kwa Simba na Tanzania. Tuzo hii imezidi kuonyesha namna gani Simba ni timu kubwa na ina wachezaji wenye viwango vikubwa! #nguvumoja"

Haya bwana, Sakho ameupiga mwingi sana sana.... hongera kwake na kwa wanaSimba wote.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags