16
Kongosho yamtesa Chameleone, Mtoto wake aweka wazi
Mtoto wa kwanza wa msanii Jose Chameleon, Abba Marcus ameweka wazi kuwa baba yake anasumbuliwa na maradhi ya kongosho (Acute Pancreatitis) iliyosababishwa na uraibu wa pombe k...
26
Jux aweka wazi tofauti ya Priscilla na wapenzi wake wa nyuma
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini anayetamba na ngoma ya ‘Ololufemi’ Jux ameweka wazi tofauti kati ya mpenzi wake wa sasa Priscilla Ajoke na wapenzi wake wa nyuma ...
20
Sanaa ya upishi kukuza utamaduni, Waziri Pindi Chana agusia utalii
Kutokana na sanaa ya upishi kuwa miongoni mwa mambo yanayoweza kukuza na kuendeleza utamaduni, utalii, na uchumi. Kufuatia madhimisho ya msimu wa tisa wa wiki ya Vyakula vya K...
18
Waziri Mkuu aagiza Niffer akamatwe kwa kuchangisha michango,janga la Kariakoo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza mwanamitandao na mfanyabiashara Jenifer Jovin 'Niffer' akamatwa na jeshi la polisi kwa kukusa...
08
Ukaribu wa Drake na mtoto wake wazidi kushamiri
Rapa kutoka Canada, Drake ameonekana kuwa na ukaribu zaidi na mtoto wake wa kiume aitwaye Adonis licha ya kutengana na mama wa mtoto huyo Sophie Brussaux.Kupitia ukurasa wa In...
06
Mawaziri kulinogesha tamasha la Faraja Ya Tasnia
Mawaziri watano sambamba na Mshauri wa Rais, Angellah Kairuki na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa wanatarajiwa kushiriki Tamasha la Faraja y...
12
Mr P atuma barua ya wazi kwa Rudeboy
Nyota wa muziki Nigeria, Peter Okoye ‘Mr P’ wa kundi maarufu la muziki la ‘Psquare’ ameandika barua ya wazi kwa pacha wake Paul Okoye ‘Rudeboy&rs...
31
Diamond aweka wazi sababu ya kuvaa Kimasai kwenye Komasava
Baada ya kuwepo na minong’ono kupitia mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mashabiki wakihoji kwanini Diamond aliamua kuvaa vazi la Kimasai katika video yake na kwanini asi...
08
Kayumba adai kudhulumiwa 1.8 milioni
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kayumba Juma ameweka wazi juu ya mwendelezo wa sakata lake alilodai awali kudhulumiwa Sh 7 milioni na Director Elly Mzava, ambaye anafanya kazi na R...
02
Baba Burna Boy aweka wazi anavyojivunia mwanaye
Baba mzazi wa mwanamuziki wa Nigeria Burna Boy, Samuel Ogulu ameweka wazi jinsi anavyovutiwa na mafanikio ya kijana wake, hii ni baada ya mwanaye kuupiga mwingi katika onesho ...
19
Vanessa Mdee afanyiwa upasuaji wa jicho
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini ambaye kwasasa anaishi Marekani na mpenzi wake Rotimi ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji (Surgery) wa jicho na kuwa kwa sasa anaen...
11
Ugonjwa wa Celine Dion ulimuanza mwaka 2008
Mwanamuziki wa Canada Celine Dion, ameweka wazi kuwa ugonjwa aliokuwa nao wa ‘Stiff Person Syndrome’ ulianza kumsumbua toka mwaka 2008. Dion ameyasema hayo wakati ...
25
Mwana FA atamba hakuna msanii wa hip-hop anayemzidi kuandika
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuna (Mwana FA) amesema kuwa bado hakuna msanii wa miondoko ya Hip Hop aliyeweza kuchukua nafasi yake kwenye uandishi wa...
18
Faida ya wafanyakazi kujifunza huduma ya kwanza
Na Aisha Lungato Katika maisha ya kawaida mambo hatari yanayoweza kusababisha mtu kupoteze maisha ni pale anapokosa msaada wa huduma ya kwanza pindi anapokabiliwa na ugonjwa a...

Latest Post