27
Je wajua binti akisuka hivi yupo kwenye balehe
Tunajua unajua lakini tunakujuza zaidi, wakati Bongo baadhi ya vijana wakijitahidi kuficha hatua za ukuaji (balehe), lakini kwa tamaduni za Kusini mwa Angola hakuna siri kweny...
23
Je wajua Wanaume wenye vipara walitumika katika majaribio ya lipstick
Katika miaka ya 1950 kazi ambayo ilikuwa ikitrend sana katika sehemu mbalimbali hasa Marekani ni kazi ya majaribio ya lipstick iit...
26
Je wajua Mamba anauwezo wa kuzaa bila dume
Wana sayansi kutoka nchini Marekani, wamethibitisha kuwa mamba ni mmoja kati ya wanyama ambao wana uwezo wa kupata ujauzito na kuzaa bila ya mamba dume. Kwa mujibu wa tovuti m...
05
Je wajua asilimia 90 wanaume wana kovu kidoleni
Wakati mwingine kuna vitu vipo katika miili yetu lakini hatufahamu kama tunavyo, pia vipo vile ambavyo watu huvitumia kama alama kwenye miili yao, mara nyingi unakuta mzazi ak...
25
DC aonya wanawake kutembelea wanaume wasio wajua.
Mkuu wa wilaya ya Njombe, Kissa Kasongwa ametoa rai kwa wanawake kupunguza ujasiri wa kwenda kwa wanaume bila kujua vizuri ni mtu waina gani. Ni baada ya Juma Msemwa  mwe...
09
Je wajua tabia yako ipo kwenye kundi lako la damu
Na Aisha Charles Weeeeh! It’s furahidayyyyy! Kama mnavyojua afya ndo jambo la muhimu na msingi sana katika mwili wa mwanadamu, hivyo basi hatuna budi kukusogezea mawili ...
25
Je wajua kwanini Messi anaitwa ‘la pulga’
Alooooweeee! Alootenaaa! Ila tuache masihara bwana watu wangu wa segment ya burudani nimewamisi mnoo, haya leo bwana tumeshuka na mada ambayo baadhi ya watu watakuwa wanajua l...
09
Je wajua kuwa wanawake wanahitaji usingizi zaidi kuliko wanaume
Hellow! Niaje wanangu na wafuatiliaji wa Mwananchi Scoop. I hope mko good, sasa leo bwana nakuletea somo ambalo ni muhimu sana japo wengi wao hupenda kulidharau. Wakati mume w...
10
JE WAJUA: Kuinua vitu vizito kunasaidia kuishi muda mrefu
Ebwanaa, hivi umeshawahi kuhisi ama kujiuliza kama kuinua vitu vizito zaidi huuenda ikawa sababu ya kuongeza uwezo wa kuishi muda mrefu zaidi duniani? Haya bwana sio maneno ya...
30
Je wajua kuna Rihanna day huko, Caribbean
Na Habiba Mohamed  Niaje niajeeeeeeeee watu  wangu wa nguvu, kama ilivyokawaida nyota njema huonekana asubuhi, basi bwana msanii na mfanyabiashara maarufu Roby Rihan...
06
Je wajua bibi harusi anatakiwa kujiandaa siku 30 kabla
Bibi harusi ndiye kinara katika siku muhimu ya sherehe yake ya harusi, hivyo anapaswa kupendeza kwani macho ya watu wengi watakaohudhuria katika sherehe hiyo yatakuwa kwake. Y...
27
Je wajua ni kosa KUUZA MAJI
Kama ulikuwa haujui, basi wacha leo nikujuze.Je wajua kuuza maji ni kosa? Basi bwana kama una kisima chako cha maji na unawauzia majirani bila utaratibu, ipo siku unaweza kuis...
11
JE WAJUA: Watu wanaoishi China ni zaidi ya watu Afrika nzima
Kali nyingine hii hapa!Pengine ulikuwa unajua kuwa nchi ya China inaongoza kwa watu wengi duniani, lakini je ulijua kuwa uwingi huo wa watu ni sawa na watu wa bara zima la Afr...
08
JE WAJUA: Si kosa askari kukuta hauna leseni
Aiseee ulikua unaifahamu hii??? Kwa mujibu wa Sheria, sio kosa endapo askari akikuomba leseni kisha ukawa hauna kwa wakati huo.Kupitia mahojiano, mdau wa jukwaa la S...

Latest Post