Zipo imani nyingi juu ya kutunza sauti kwa ajili ya uimbaji, wapo mwanaodai kuwa mayai na asali ni kati ya vitu muhimu katika kuboresha sauti ili iwe na mvuto.
Sambamba na hay...
Mambo vipi watu wangu wa nguvu mwezi Machi umekuwa wa kipekee, swaumu zimetaradadi kila kona, bila kuwachosha mwezi huu mzima nitakusogezea tips mbalimbali za chakula, ambazo ...
Kama inavyofahamika kuwa suala la ajira, limekuwa janga la Taifa, asilimia kubwa ya wahitimu wamekuwa wakilia nalo. Waswahili wanasema uoga wako ndiyo umasikini wako, na hili ...
Aliyesema kuishi kwingi kuona mengi wala hakukosea, kama unahisi umeona kila kitu hakika utakuwa unajidanganya kwa sababu ya dunia ni mengi na yanazidi kuongezeka kila kukicha...
Mko pouwa eeeh! Basi bwana watu siku hizi wamekuwa wakijisaulisha sana umri wao nikikimbushe tuu kama uko na 39 kwenda juu hii inakuhusu kabisa, leo katika afya tunaangazia ma...
Na Elizabeth Malaba
Shinikizo la juu la damu ni moja ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza lakini mtu anaweza kupata kwa kurithi( genetic hereditary) yawezekana katika ...
Wanasemaga uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu kijana, sasa bwana kama unahitaji kuendelea kuwa kijana ungana nasi ili uweze kupata elimu kuhusiana na vyakula gani vitakufanya...
Hellow! Niaje wanangu wa nguvu leo bwana katika afya tumeona tuje na mada ambayo ni fupi lakini utapata kujifunza vyakula gani ambavyo ukiviendekeza kuvitumia kwa muda mrefu b...
Hellow, its another day, kama kawaida yetu kupitia kipengele chetu pendwa kabisaa cha Fashion ili kuweza kujua mambo kadha wa kadha yanayohusu upande wa urembo bwana.
Leo tuta...
Mambo vipi? Unataka mkwanja wewe? Najua jibu “ndiyo!” kama kawaida mtu na michongo yangu, nakupa fumbo la mkwanja kazi kwako kufumbua kuzipata hizo pesa.
Basi bhan...
Habari yako msomaji wa magazine ya Mwananchi scoop wiki hii bwana tunakuleta kwenye masuala afya, kama unavyofahamu afya ndio ngao kuu kwa mwanadamu.
Nataka nikujuze machache ...
Hellow! It’s another furahi day watu wangu wa nguvu ,sasa leo nimekuja na jambo moja matata sana kwenu nyie wadada. Kama kawaida yetu kwenye kile kipengele cha fashion, ...