Nakumbuka ilikuwa ni siku ya sikukuu ya Idi. Tulikuwa mahali na jamaa yangu mmoja tukizungumza huku tukinywa soda.
Wakati tukiwa tumekaa hapo kwenye bar,...
Ndio nilikuwa nimetia timu jijini Dar kwa mara ya pili mnamo mwaka 1990 baada ya mara kwanza kuja na kuchafua hali ya hewa nikiwa kwa kaka yangu na kupigwa patresheni kijijini...
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1994 wakati huo nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Wajapani kama fundi Mchundo ndipo mkasa huu uliponitokea nikiwa na Rafiki yangu al...
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1992 ndipo nilipopata huu mkasa wa kumtia binti wa shule mimba akiwa ndiyo kwanza ameingia kidato cha nne.
Nilikuwa nimekuja mjini Dar kwa kak...
Inaendeleaa..
Ni kweli yule bwana alionekana kuwa na uwezo pale kijijini, alikuwa na nyumba mbili zilizoko karibu, ng’ombe wa maziwa kadhaa, mashine ya kusaga nafa...
Kwenye miaka ya mwanzoni mwa 1980, nikiwa shule ya msingi alitokea kijana mmoja ambaye alikuwa ni mtupu kabisa darasani.
Elimu ya darasani kwa kweli ilimshinda, nadhani alikuw...
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya Alhamisi asubuhi na mapema nilikuwa naendesha gari nikitokea nyumbani kwangu Tabata Mawenzi kuelekea kazini kwangu maeneo ya Posta huku nikisikili...
Nilifahamiana na huyu kijana mwaka 2004, tulipokutana pale kituo cha utamaduni cha Russia, akawa ni rafiki yangu wa karibu sana. Tulikuwa na mazoea ya kutembeleana mara kwa ma...