27
Akanipandishia gauni ili nione vizuri…!
Mkasa huu ulinipata Mwaka 1999, nakumbuka nilikuwa katika kuhangaika kutafuta kibarua, nilijikuta nikiwa kwenye ofisi moja ya jamaa yake kaka. Nilifika hapo baada ya kaka yang...
13
Changu akajua amepata Mreno akalamba "wallet"...!
    Ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 2000, kipindi hicho nilikuwa napiga maji kwa kwenda mbele kabla sijaamua kuacha baada kupata misukosuko kadhaa... Nakumbuka siku...
07
Yule Shangingi akanichuna kifedhuli..!
Ilikuwa ni siku ya Jumamosi, na ndio nilikuwa nimetoka Benki kuchukua mshahara wangu wa kwanza baada ya kusota kwa takriban mwaka mmoja bila ajira. Kwa mwaka huo mmoja nilioku...
29
Jamaa akajisahau kwenye dalala, akatuacha hoi
Nakumbuka kisa hiki nilikutana nacho siku moja majira ya asubuhi. Nilikuwa nimepanda daladala kutoka Gongo la Mboto kuelekea Posta kibaruani kwangu. Wanaonijua wanaweza kujiul...

Latest Post