10
Salha afunguka, Sababu muziki wa taarab kusuasua
Mwanamuziki wa taarab, Salha Abdallah, ametoa ufafanuzi juu ya changamoto zinazokumba muziki wa taarabu na jinsi ambavyo umepoteza umaarufu wake katika miaka ya hivi karibuni....
17
Ronaldinho: Sitaangalia mechi yeyote Brazil
Mwanasoka wa zamani Ronaldinho amedai kuwa hataishangilia wala kuangalia mechi yeyote ya Brazil kwenye fainali za Copa America kwa sababu amechoshwa na kipindi cha huzuni. Aki...
19
GSM atoa vifaa vya matibabu Ocean Road
Mdhamini wa ‘klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed (GSM) ametoa zawadi ya vifaa vya matibabu katika hospitali ya Ocean Road kama zawadi ya kusheherekea siku ya yake kumbuki...
15
Mo Dewji awaomba wanasimba kuwaamini viongozi
Rais wa ‘klabu’ ya Simba Mohammed Dewji amewataka mashabiki wa ‘klabu’ hiyo kuwa na imani na viongozi waliochaguliwa. Mo amewaomba Wanasimba kutulia, k...
07
Robertinho awekwa kikaangoni, Kipigo cha Yanga
Kocha mkuu wa ‘Klabu’ ya Simba Roberto Oliveira 'Robertinho' anatajwa kukalia kuti kavu kutokana na matokeo ya ‘mechi’ iliyochezwa juzi kwenye Uwanja w...
19
Mo Salah aomba viongozi kuingilia vita ya Palestina na Israel
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #LiverPool #MoSalah ametoa wito kwa viongozi wote duniani akiwataka kukutana pamoja kutoa msaada wa haraka wakati wa mzozo kati ya Israel na...
29
Robertinho atamani ‘mechi’ za kirafiki
Kocha mkuu wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, Robertinho amesema ‘timu’ yake ina siku 30 za mapumziko kwa hiyo ndani ya kipindi chote hicho anahitaji ‘mechi...
07
Wafumaniwa wakifanya ngono kanisani
Watu wawili ambao ni wapenzi wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa...
22
Viongozi wa kijiji wajiuzulu kisa umeme
Kutokana na serikali kushindwa kupeleka nishati ya umeme katika kijiji cha Uhambule wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe Wenyekiti wa vitongoji 3 pamoja na wajumbe 7 wa Serika...
27
Msafara wa viongozi wa chadema wapata ajari
Ajali hiyo imetokea tabora mishale ya saa nane usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2023, Wilaya ya Uyui kata ya Kigwa wakati viongozi wa chadema wakielekea Kigoma kwa ajili ya maa...
21
Viongozi wa kanisa wamkataa askofu anaeunga mkono mapenzi ya jinsia moja
Kundi la viongozi wa kanisa la kianglikana kutoka sehemu mbalimbali duniani wamemkataa Askofu Mkuu wa Canterbury, Justin Welby, ku...
14
DC Mtanda akanusha madai ya gambo kusakwa na viongozi wa serikali ili auawe
Kufuatia sakata la madai hayo Mkuu wa Wilaya, Said Mtanda, amesema hakuna mpango wa Kiongozi wa Serikali kumuua Mbunge huyo wa Aru...
04
Papa Francis kukutana na viongozi wakuu wa kiislamu leo
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anatazamiwa kukutana leo na viongozi wakuu wa dini ya Kiislamu, akiwa katika ziara nchini Bahrain inayoazimia kuboresha mjadal...
04
Mawakili wa Iran wawakosoa hadharani viongozi wa kidini
Mawakili arobaini mashuhuri Iran, wanaotetea haki za binaadamu wamewakosoa hadharani viongozi wa kidini, wakisema utawala uliopo utaondolewa madarakani, kufuatia waandamanaji ...

Latest Post