Ukiichunguza jamii yetu. Utabaini matajiri wengi ni wenye elimu kiasi. Au hawakusoma. Wasomi wengi wana 'laifu' ya kawaida na huishia kujenga na gari ya kutembelea tena ya mko...
Ndiyo hivyo, hata mbuyu hufika wakati ukaanguka. Ndivyo inavyotokea kwa watu wengi. Ilianza kwa O. J. Simpson, Bill Cosby, R Kelly na wengine wengi na hasa wakihusishwa n...
‘Fowadi’ wa zamani wa Real Madrid, Manchester City na Brazil, Robinho ameanza kujifunza ufundi wa vifaaa vya umeme, ikiwamo kutengeneza televisheni akiwa gerezani ...
Mwanamke mmoja aitwaye #Liu kutoka Shanghai nchini China ameamua kuwanyima urithi watoto wake na kuwapatia wanyama wake Mbwa na Paka utajiri wake wa dola milioni 2.8 ambayo ni...
Ikiwa mwaka 2023 unaeleke kuisha umekuwa wa neema kwa baadhi ya mabilionea ulimwenguni, ambapo utajiri wao umeongezeka kwa kiasi kikubwa.Wengi wao ni wale wanaojihusisha na ma...
Mchekeshaji kutoka Nchini Nigeria #BrainJotter ameonesha kuchukizwa na mtangazaji aliyemuuliza kuhusu utajiri wake.
#Brain akiwa katika mahojiano aliulizwa kwa sasa utajiri wa...
Mwanamuziki Akon ametoa ushauri kwa watu ili waweze kutajirika ni lazima wawe wabahili.
Akon akiwa kwenye podcast ya #Impaulsive amesema, kama mtu anataka kutajirika basi lazi...
Ebanaee!!! Amkeni bhana we hivi unajua staa wa muziki wa bongo fleva Diamond platnumz anaingiza mkwanja wa kiasi kikubwa cha Tsh.milioni 183.
Kwa mujibu wa ukurasa wa Twitter ...
Binti mmoja mkazi wa kijiji cha Mahaha, wilayani Magu, mkoani Mwanza, Zawadi Msagaja (20) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumzika mtoto akiwa hai ili...
Na Habiba Mohamed
Hellow niaje niaje! Kama kawaida kila kona kutafuta story moto moto na kukusogezea mdau wetu wa nguvu.Ebwana majina yanaumba mnamkumbuka yule mwa...
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Star wa Filamu Jackline Wolper ameandika ujumbe mzito kuhusiana na Wanawake jinsi wanavyopamabana kuhakikisha wanalisha Watoto wao.
"Naku...