Wanamuziki maarufu wa Bongo Fleva ambao wanaushindani mkubwa katika tasnia ya muziki Diamond, Alikiba na Harmonize wanatarajiwa kuonana uso kwa uso katika sherehe ya ‘Li...
Mwanamuziki wa Marekani #ChrisBrown, ameripotiwa kurudisha pesa ya shabiki ambaye aliitoa kama malipo ili akutane na msanii huyo na kupiga naye picha.
Shabiki huyo wa kike mwe...
Na Michael Onesha
Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani kubwa ni wewe mwenyewe. Rule namba moja ukiwa kama kijana wakike au wa kiume unatakiwa kujiona wa t...
Kuacha sigara ni mchakato ambao baadhi ya watumiaji wamekuwa wakigonga mwamba kila uchwao, lakini kwa Ibrahim Yücel kutoka Uturuki ilikuwa rahisi baada ya kutengeneza kof...
Rapa maarufu kutoka nchini Marekani #PostMalone amefunguka sababu ya kuchora tattoo usoni akidai kuwa alikuwa anatafuta mwonekano mzuri wa uso wake.
Kwa mujibu wa tovuti ya Da...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria Ayra Starr amekutana na msanii mwenzake Rihanna, usiku wa kuamkia leo katika onyesho la Fenty X Puma lililofanyika jijini #London.
Wawili ha...
Nyota mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Malu Stonch amefariki dunia usiku wa jana baada ya kuanguka ghafla jukwaani katika ukumbi wa Target uliopo Mbezi Beach wakati aki...
Yaani hazieleweki zinataka nini au zinataka mwanaume wa aina gani.
Mambo ya siksi paki, sijui urefu, sijui ujentlomani, sijui manini nini sijui.
Tunawaka rasmi sasa msimamieni...
Baada ya mwanamuziki wa #bongofleva nchini Abigail Chams ku-share video akiwa anasonga ugali, ameweka wazi kuwa alienda mkoani Tanga kwa ajili ya kujifunza kupika chakula hich...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #ChriseanRock amechora usoni tattoo yenye sura ya ex wake na mzazi mwenziye #Blueface ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, ka...
Na Aisha Lungato
Niaje niaje! wasomi, niliwakumbuka sana sasa leo nimerudi tena ndugu yenu nisiye na hiyana kuja kuwapa nondo ambayo itaweza kuwasaidia huko mbeleni mnakoeleke...
Nyota wa Napoli na mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Nigeria, Victor Osimhen amefichua sababu za kutumia maski ya kuficha sehemu ya macho katika kila ‘mechi’.
Ku...
Hellow!! vipenzi vyangu kama kawaida yangu lazima tukutane kwenye segment yetu pendwa ya Fashion ili kujuzana mambo mbalimbali kuhusu urembo na style tofauti tofauti za ndani ...