Ombi la dhamana la mkali wa hip hop Marekani Diddy Combs imekataliwa huku jaji wa mahakama hiyo akidai kuwa hawezi kumuachia huru rapa huyo kutokana na usalama kuwa mdogo kwa ...
Niwasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano Tanzania, basi wote tusema kazi iendelee, kama kawaida ili mkono uende kinywani lazima kazi na juhudi ifanyike, katika juhudi hizo ...
Sanamu la aliyewahi kuwa rais wa Marekani na mwanasheria Abraham Lincoln lililopo Washington DC, limeripotiwa kuyeyuka huku sababu ikitajwa ni joto kali nchini humo ambapo mpa...
Baada ya nyaraka za kesi zilizofunguliwa na mtayarishaji Rodney Jones dhidi ya Diddy zikidai kuwa Party zinazofanyika nyumbani kwa Combs zimekuwa zikijikita katika biashara ya...
Muigizaji kutoka nchini Marekani, #AdamWylie, anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kosa la kuvunja maduka ya Ol Target nchini humo na kuiba bidhaa katika maduka hayo.
#BurbankPD &...
Muigizaji kutokea nchini Marekani, #ToriSpelling ameripotiwa kuhama nyumbani kwake Los Angeles baada ya kuvamiwa na jirani yake akiwa na bunduki aina ya AR-15.
Tori ambaye ali...
Baada ya msanii kutoka nchini Nigeria, Naira Marley kushutumiwa kuhusika na kifo cha msanii mwenzie MohBad na wananchi kutoka nchini humo, msanii huyo ameweka wazi kuwa yupo t...
Baada ya siku kadhaa ‘kamera’ kumnasa msanii kutoka nchini Nigeria Davido kukataa maji kwenye maandamano ya kudai haki ya aliyekuwa msanii marehemu MohBad, kwa mar...
Wafanyikazi wawili wa Mamlaka ya Usalama wa Uchukuzi (TSA) wamefumwa wakiiba pesa na vitu vingine kutoka kwenye mifuko ya abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami F...
Mamboz!!! Uhali gani mfanyakazi mwenzangu nikwambie tu tumekutana tena this weekend kwenye segement yetu ya kazi kama kawaida hapa lazima nikuelekeze mambo yote yanayo husiana...
Taarifa hii kutoka nchini Marekani ambapo Muswada huo ni mwendelezo wa kuupinga Mtandao wa TikTok unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China. Aidha Novemba 2022,...
Hivi ushawahi sikia mwanaume anasema huyu mwanamke nimempa kila kitu, pesa, nyumba, magari lakini bado simuelewi. (hajajua njia sahihi za kulinda hisia za mkewe)
Au ushawahi s...