Wake wawili wa marehemu mwigizaji Mr Ibu, Ifeyinwa Okafor na Stella-Maris Okafor wamehudhuria msibani kwa mume wao licha ya kutokuwa na maelewano mazuri kwa muda mrefu.Kwa muj...
Emmanuel Nwude ni mmoja kati ya watu waliaondika historia kubwa nchini Nigeria kwenye masuala ya utepeli. Taarifa kutoka Daily zinaeleza kwamba Nwude ambaye aliwahi kuwa mkuru...
Onyeabuchi Okafor ambaye ni mtoto wa kiume wa muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor, maarufu kama Mr Ibu na mtoto wa kike wa kuasili aitwaye Jasmine Okekeagwu, wamedakwa...
Mwimbaji Coco Lee, mzaliwa wa Hong Kong aliejizoelea umaarufu katika Pop huko Asia miaka ya 1990 na 2000 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 48.
Lee alihamia Marekani akiwa...
Kundi la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) la nchini Sudan limetangaza kuwaachia huru wafungwa 100 wa vita ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Eid el Haji. Kund...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuangukiwa na jiwe akiwa katika shughuli za uchimbaji mawe.
Kwa mujibu...
Mwanamuziki wa Afropop kutoka nchini Nigeria, Guchi ameelezea kutoridhishwa kwake na lebo yake ya PG Records Entertainment kwa kuchelewesha kuachia wimbo aupendao.
Guchi ana a...
Msichana wa kazi za ndani (house girl) aliefahamika kwa jina la Zuhura Ramadhani mwenye umri wa miaka 30, amemshtaki bosi wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali ya Mtaa ya ...
Aliekuwa spika wa bunge wa zamani Rachel Ghannouchi na mmoja wa wapinzani wakuu wa Rais Kais Saied mwenye umri wa miaka 81 amehukumiwa na mahakama moja nchini Tunisia si...
Duh! Ama kweli mambo ni mengi muda mchache, ukiambiwa kuwa uyaone si maghorofa, basi bwana leo katika segment yetu ya unique story tumekusogezea mwanamama ambaye ameamua kujib...
Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni mkazi wa Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa mtupu kwenye madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana, lilil...
Picha ya video inayoonyesha watoto wawili wa shule ya msingi wakichinja kuku nchini Kenya imezua mijadala kuhusu mtaala mpya wa nchi hiyo unaozingatia zaidi ujuzi wa vitendo -...