Serikali ya Tokyo nchini Japan inampango wa kuweka ratiba mpya ya kazi ifikapo mwaka 2025 ambapo wafanyakazi wote wa serikalini wataingia kazini siku nne tu ndani ya wiki huku...
Wanasayansi kutoka Japan wako mbioni kuzindua roboti lenye ngozi hai ambalo litakuwa na uwezo wa kucheka pamoja na kutabasamu kama binadamu.Ubunifu huo ulioongozwa na watafiti...