Washiriki wa mashindano ya Miss Tanzania wameihimiza Serikali kuimarisha zaidi mazingira ya uwakala wa bidhaa za kimataifa za vipodozi ili kupunguza changamoto ya mianya ya bi...
Britt Allcroft, mtayarishaji wa katuni ya Thomas & Friends, kutoka Uingereza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.Taarifa ya kifo chake ilithibitishwa na mtayarishaji...
Mwigizaji wa Uingereza Dame Maggie Smith ambaye alijulikana zaidi kupitia mfululizo wa filamu ya ‘Harry Potter’ amefariki dunia asubuhi ya leo Septemba 27, 2024 ak...
Mhusika wa kubuni anayetambulika kama Batman rasmi ametunukiwa nyota ya heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’ mchana wa jana Alhamis Septemba 26, 2024.Kwa mujibu wa ...
Mwanamuziki Ali Saleh Kiba, maarufu Alikiba amefunguka kuhusiana na plani zake za kuupeleka muziki wake Kimataifa kama wasanii wengine kwa kuweka wazi kuwa anamipango wa kufan...
Ikiwa jana Septemba 3, 2024 dirisha la kuwapigia kura wasanii watakaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) lilifunguliwa, hivi ndivyo vipengele 17 vinavyoshindaniwa ambavyo vime...
Baada ya Kamati ya Uandaaji wa Tuzo za Muziki nchini (TMA) kutangaza baadhi ya vipengele na majina ya wasanii wanaowania tuzo hizo, mwanamuziki Rayvanny ametaka kuondolewa kat...
Kamati ya uandaaji wa Tuzo za Muziki nchini (TMA) leo Agosti 29 imetangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo katika vipengele vitatu ambavyo ni Mwanamuziki Bora wa Kium...
Duniani kuna tuzo nyingi kwenye sekta ya muziki ambazo hutolewa kama ishara ya heshima na mafanikio katika tasnia hiyo. Kati ya vitu ambavyo wasanii huvihesabu kama sehemu ya ...
Imeripotiwa kuwa baadhi ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited bado hawajafanya maamuzi ya kusaini mikataba mipya ‘klabuni’ hapo wakisubiri kujua...
Ili filamu iwe na uhalisia ni lazima mwigizaji avae uhusika na kuufanya uwe maisha yake ya kila siku. Na hii ndiyo changamoto ambayo huwakuta baadhi ya waigizaji, lakini imeku...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameahidi kutoa misaada kwa watoto, Naira 100 milioni ambazo ni zaidi ya tsh 300 milioni kwa ajili ya sikukuu ya Christmas.Wizkid ameel...