Niajeeee!!! Mwanangu mwenyewe je unajua siri za kufanya biashara yako ya nguo ifanikiwe mtandaoni? Mambo yasiwe mengi bhana ni vitu vidogo sana leo kwenye Nipe Dili nakukunjul...
Moja ya mambo ambayo msanii wa muziki Linex Sunday Mjeda ameeleza ni kuhusiana na msanii mwenzake Baba Levo ambaye amemtaja kama mtu ambaye hawezi kukaa na siri.
Linex ameyase...
Ndugu yangu msomaji hapo ulipo unakabiliwa na changamoto katika maisha na ujui utawezaje kukabiliana nazo?
Je ukikabiliwa na changamoto hizo unatafuta njia za kuweza kuzitatua...
Julai 2020 Umoja wa Mataifa (UN) ilitoa ripoti mpya ambayo ilibaini kwamba ujasiriamali unaweza kuwa suluhu kubwa ya ajira kwa vijana na kusaidia jamii nyingi zisizojiweza.
Kw...
Msomaji wetu tunatumaini kuwa u mzima wa afya na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku.
Basi leo katika kipengele cha listi tumekusogezea mambo 13 usiyoyajua kuhusu ka...
Mpendwa msomaji wetu leo katika karia tumekusogezea siri ya maisha na kukusisitizia kwamba maisha hayana kanuni lakini yana siri nyingi.
Jongea nasi kuzijua siri hizo…&...
Ebwana kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa msanii Faustina Charles maarufu Nandy ameandika ujumbe huu hapa akiwapa hamasa watu katika safari ya mafanikio.
''There are ...
Mpendwa msomaji wetu leo katika karia tumekusogezea siri ya maisha na kukusisitizia kwamba maisha hayana kanuni lakini yana siri nyingi.
Jongea nasi kuzijua siri hizo…&...
Awooooteeee!!!! Namna hiyo ndivyo ninavyoanza kwa vibe kama lote mwanangu mwenyewe! Karibu kwenye kipengele kizuri kabisa cha Smartphone, huu ni uwanja wako wakujidai kuimilik...
Hebu nikuulize wewe mwanamke. Je umewahi kumficha mumeo au mpenzi wako kitu chochote kuhusu maisha yako ya zamani au ya sasa? Je mumeo au mpenzi wako ameshawahi kukushangaza n...
Watu wasio na kipato cha uhakika wanapenda kutumia kama vile wana utajiri wakati matajiri huwekeza wakiawalenga watu wa sio na kipato cha uhakika kuja kununua.
Hata ukiangal...