Mwanamke mmoja kutoka Utah nchini Marekani aitwaye Daniella amerudisha tabasamu kwa binti yake wa miaka saba aitwaye Gianessa Wride baada ya kubuni njia inayoweza kuwa mbadala...
Kumekuwa na baadhi ya mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikionesha baadhi ya watu kutofurahia malipo ya kiingilio yanayotolewa kwenye matamasha ya muziki wa injili. Kutokana ...
Mtayarishaji wa muziki nchini #MasterJ ametoa povu kwa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kuchukua video na kupiga picha kwa ajili ya ku-post katika mitan...
Mchezaji wa ‘timu’ ya #Livepool na ’timu’ ya taifa #Misri #Mosalah amerudi kambi ya Liverpool baada ya kupata majeraha ya misuli ya paja kwenye mchezo ...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Qchief ameweka wazi kuwa mwaka huu hataki tena kuwa na tofauti na msanii mwenzake #TID.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa wamekuwa h...
Si jambo la kawaida kwa familia kusherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa siku moja ya tarehe na mwezi wakufanana, wanandoa Jose Ervin na Scierra Blair kutoka Ohio wamejikuta kwen...
Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) limeshauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuhakikisha linatoa malipo sawa ya fedha na tuzo kwa wanawake , kama ilivyo kwa wanaume...
Mchezaji aliyetambulishwa hivi karibuni na ‘klabu’ ya Manchester United, #RasmusHojlund amepata majeraha mgongoni na inadaiwa tatizo lake ni kubwa ambalo litapelek...
Hellow! Ni Monday nyingine kabisa watu wangu wa nguvu, basi bwana msanii mkonge wa bongo fleva Dully Sykes amefunguka baada ya kuulizwa kuhusiana na tofauti kati ya Zuchu na w...