17
Kijana wa miaka 15 azindua sabuni ya kutibu saratani ya ngozi
Kijana mmoja aitwaye Heman Bekele (15) kutoka Fairfax, Virginia ameripotiwa kuvumbua sabuni inayoweza kuzuia na kutibu saratani ya ngozi.Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini...
25
Muigizaji Richard afariki kwa saratani
Muigizaji kutoka nchini Marekani, #RichardRoundtree mwenye umri wa miaka 81 amefariki dunia, baada ya kuugua saratani ya kongosho iliyogundulika miezi miwili iliyopita. Kwa mu...
26
Mjukuu wa Mandela afariki dunia kwa saratani
  Zoleka Mandela, ambaye ni mjukuu wa Rais wa kwanza mzalendo nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, amefariki dunia kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43, familia yake i...
08
Mke wa Pieters agundulika kuwa na saratani ya matiti
Mke wa nyota wa zamani ‘Ligi’ ya England Erik Pieters, Nermina Pieters ameweka wazi kuwa amegundulikaku anaugonjwa wa Saratani ya matiti.Kupitia ukurasa wa Instagr...
29
Hamisa Mobetto aomba ushirikiano kusaidia watoto
Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba w...
08
Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa saratani ya koo (part 2)
Na Elizabeth Malaba Ooooiiih! Niaje niaje watu wangu wa nguvu, kama kawaida afya ndo jambo la muhimu katika maisha haya, sasa tunaendelea pale tulipo ishia katika suala zima l...
02
Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa saratani ya koo
Na Elizabeth Malaba Saratani ya koo ni miongoni mwa magonjwa hatarishi na unaoshika kasi kuathiri watu na hata kusababisha kifo. Ingawa baadhi ya wagonjwa wa saratani ya koo w...
26
Homa ya ini tishio kwa wanaume
Taasisi ya Afya nchini Marekani (NIH) imekadiria hadi kufikia mwaka 2025, zaidi ya watu milioni moja wakiwemo wanaume kuambukizwa Saratani ya Ini kila mwaka na hivyo wanahimiz...
13
Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi
Na Shufaa Nassor Hellow!!! I hope mko pouwaah, mimi kila siku niko hapa kuelekezana kuhusiana na maswala mazima ya Afya hususani ya wanawake, maana wengi wenu mnanitambua kama...
03
Nigeria kuchunguza tambi zinazo sababisha saratani
Wakala wa kudhibiti Chakula na Dawa (Nafdac) nchini Nigeria imesema inachukua hatua za haraka kuchunguza aina maarufu ya tambi za Indomie baada ya madai ya kuwepo kwa 'su...
29
Saratani ya shingo ya kizazi
Mambo vipi msomaji wa jarida lako pendwa la Mwananchi Scoop? Leo makala yetu inazungumzia saratani ya shingo ya kizazi ikiwa ni mwezi Januari, mwezi ambao shirika la afya duni...
19
Ngono katika umri mdogo chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi
Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani inayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanawake wengi duniani. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya vifo hivi hutokea katika nchi zinazoendel...
15
Vidonge vya P2, kichocheo kwa wasichana kupata saratani ya matiti
Wasichana na wanawake wengi kwa sasa wamekuwa wakitumia vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 bila kufuata utaratibu wala maelekezo kutoka kwa daktari. Leo hii katika makal...

Latest Post