16
Sanamu la Eliud na Faith laondolewa
Mamlaka ya jiji la Eldoren nchini Kenya imeondoa sanamu la wanariadha Eliudi Kipchonge na Faith Kipyegon waliyoiwakilisha nchi hiyo katika mashindano ya Olimpics 2024 jijini P...
03
Unalipa asilimia ngapi hili sanamu la Drake
Jumba la makumbusho maarufu la ‘Times Square’ kutoka New Yorka Marekani,  siku mbili zilizopita lilizindua sanamu la ‘rapa’ wa Canada Drake ambalo...
27
Sanamu layeyuka kisa joto kali
Sanamu la aliyewahi kuwa rais wa Marekani na mwanasheria Abraham Lincoln lililopo Washington DC, limeripotiwa kuyeyuka huku sababu ikitajwa ni joto kali nchini humo ambapo mpa...
15
Post Malone alishangaa sanamu lake
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘The British Journal of Sports’ umegundua kuwa kukaa chini zaidi ya saa 12 kunaongeza hatari ya kifo cha mapema kwa asilimia 3...
17
Mbappe alikubali sanamu lake asilimia 100
Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya Ufaransa ambaye anajiandaa kuondoka katika ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe amelikubali sanamu lake lilil...
03
Rapa 6ix9ine ajengewa sanamu Cuba
Zikiwa zimepita siku saba tangu kuzinduliwa sanamu ya mwanamuziki kutoka Colombia Shakira, shabiki wa ‘rapa’ 6ix9ine kutoka nchini Cuba naye ameamua kuonesha mapen...
27
Shakira ajengewa sanamu Colombia
Mwanamuziki kutoka nchini Colombia Shakira ajengewa sanamu katika mji wa Barranquilla ambako ndiko aliyozaliwa. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Shakira ame-share picha na vide...
24
Lil Wayne na The Rock wakataa sanamu zao
Mwanamuziki wa Hi-hop kutoka nchini Marekani, #LilWayne inadaiwa kukataa muonekano wa sanamu lake ambalo lipo katika makumbusho ya #Wax mjini #Hollywood nchini humo. Kwa mujib...
21
Mashabiki wakosoa sanamu la The Rock
Ikiwa ni kawaida kutoka katika jumba la makumbusho la Grevin Paris nchini Ufaransa kuweka sanamu za watu maarufu mbali mbali, kwa mwaka huu imekua tofauti baada ya mashabiki k...
20
Watumia zaidi ya miaka 9 kuchonga sanamu ya nyoka, Yenye urefu zaidi duniani
Tumezoea kuona wachongaji wa vinyago wakifanya ubunifu wa kuchonga sanamu zenye maumbile madogo kwa ajili ya kupamba sehemu mbalim...
25
Fahamu siku ya Rihanna day huko, Caribbean
Kwa Tanzania na nchi jirani tumezoea kuona watu mashuhuri kukumbukwa yaani kuwa na siku zao maalum mfano, Nyerere Day, Karume Day, msanii na mfanyabiashara Roby Rihanna Fenty ...
06
Sanamu la Nyerere kujengwa Ethiopia
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana leo amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma, ambapo moja y...
29
Messi ajengewa sanamu
Shirika la soko Amerika Kusini, Conmebol limemzawadia sanamu la heshima mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi kwa kuingoza timu yake kushinda Kombe la dunia, mw...
30
Je wajua kuna Rihanna day huko, Caribbean
Na Habiba Mohamed  Niaje niajeeeeeeeee watu  wangu wa nguvu, kama ilivyokawaida nyota njema huonekana asubuhi, basi bwana msanii na mfanyabiashara maarufu Roby Rihan...

Latest Post