Ni wazi kuwa mtanange wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, unaendelea kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam.Licha ya mashind...
Unaambiwa sio lazima ila ni muhimu kulipa fadhila kwa mtu aliyekusaidia na kukushika mkono kabla hujajipata. Hicho ndicho amekifanya msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama kwa msani...
Jaji wa shirikisho Arun Subramanian amekataa ombi la dhamana la Sean "Diddy" Combs katika uamuzi mpya uliotolewa mapema jana Jumatatu, Agosti 4,2025.Hii inakuwa mara ya tano k...
Kaondoka Chama. Kwenye nyoyo za wana Simba na wana Yanga. Sio yule aliyewaendesha atakavyo kwa pasi zenye macho. Utulivu langoni kwa adui. Na kuburuza mabeki kama viroba vya m...
Kwenye kijiji fulani alikuwepo chalii mmoja hivi kazi yake ilikuwa ni kuchunga kondoo. Anatoka nyumbani asubuhi na mamia ya kondoo na kwenda nao porini kuwalisha. Anakaa ...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na jukwaa la mahusiano la OnePull, umebaini kuwa asilimia 50 ya wanawake ambao wapo kwenye ndoa au mahusiano wanadaiwa kuwa na wapenzi wa aki...
Staa wa Bongofleva kutokea Next Level Music (NLM), Rayvanny katika kipindi cha miaka tisa ya umaarufu wake kimuziki, amefanikiwa kutoa Extended Playlist (EP) tano pamoja na al...
Baada ya mwanamuziki Zuchu kuachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Amanda’ ambayo haijapokelewa vizuri na baadhi ya mashabiki wakiunanga kuwa wimbo huo ni mbaya, hayimaye...
Mwanamuziki maarufu wa hip hop Busta Rhymes ametunukiwa rasmi nyota ya ‘Hollywood Walk of Fame’, ikiwa ni heshima kubwa kwa mchango wake katika muziki na burudani ...
Mwigizaji mkongwe wa Marekani, Liam Neeson (73) anaripotiwa kuzama katika uhusiano mpya na mwanamitindo, Pamela Anderson (58) licha ya hapo awali kudai amefunga ukurasa huo ku...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limekanusha madai ya msanii wa vichekesho Ebitoke kutekwa na watu aliowataja kwenye ukurasa wake wa Instagram, kama ilivyoelezwa. Akizungumza Ka...
Msanii wa singeli, Dulla Makabila wiki hii 'ametrend' baada ya kutupia picha yenye mwonekano mpya ikimuonesha kung'aa zaidi sura na kuwa mweupe.Kutokana na mwon...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Down’, ameweka wazi sababu kubwa inayomfanya awekeze nguvu katika sh...