01
Kanye awataka mapaparazi wampumzishe
‘Rapa’’ Kanye West amewataka waandishi wa udaku (mapaparazi) wampumzishe maana anashindwa ku-enjoy na kula bata jijini Paris kutokana na kumuandama kwa kumfu...
26
Kanye apinga urafiki na mapaparazi
Ikiwa zimepita siku chache tangu mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Marekani, Kanye West kuonekana akiwaelekeza mapaparazi njia za kupata picha na video bora, sasa rapa...
28
Wanyama wenye vichwa viwili
Ni ajabu na nadra sana kuona viumbe wenye vichwa viwili, kwa haraka unaweza dhani upo ndotoni, lakini ukweli ni kwamba viumbe wa aina hiyo wapo na wanaishi kama waishivyo weng...
03
Papa achukizwa na waliochoma Quran
Papa Francis wa kanisa katoliki Duniani amelaani vikali vitendo vya kuchoma vitabu takatifu kwa waislam (Quran) baada ya mtu mmoja kuchoma kitabu hicho kwenye mji mkuu nchini ...
05
Padri afukuzwa baada ya kugundulika ana mtoto
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la katoliki nchini Ufaransa Papa Francis amechukua uamuzi wa kumtimua Padri Wenceslas Munyeshyaka mzaliwa wa Rwanda ambaye alikuwa akitumikia kanisa hi...
05
Papa mstaafu Benedict XVI kuzikwa leo Vatican
Papa Francis ataongoza leo ibada ya mazishi ya mtangulizi wake Benedict XVI mjini Vatican, Ni tukio ambalo halijawahi kushuhudiwa katika enzi za kisasa na linatarajiwa kuhudhu...
02
Wakatoliki kutoa heshima za mwisho katika mwili wa Papa mstaafu Benedict
Waumini wa kanisa Katoliki wataanza leo kutoa heshima zao mjini Vatican kwa papa mstaafu Benedict XVI, ambaye mwili wake utawekwa ...
04
Papa Francis kukutana na viongozi wakuu wa kiislamu leo
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anatazamiwa kukutana leo na viongozi wakuu wa dini ya Kiislamu, akiwa katika ziara nchini Bahrain inayoazimia kuboresha mjadal...
27
Papa: hadi Watawa na Mapadre wanaangalia video za ngono
Papa Francis amewaonya makasisi na watawa kuhusu hatari ya kutazama video ama picha za ngono (ponografia) mtandaoni akisema "inadhoofisha moyo wa kipadre". Papa, mwenye umri w...
17
Papa ahimiza mabadiliko ya UN baada ya vita Ukraine na Corona
Vatican city Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amesema upo umuhimu mkubwa kwa sasa kuufanyia mabadiliko Umoja wa Mataifa na hasa baada ya janga la uviko-19 na vita nch...

Latest Post