Maisha yanachangamoto zake, na siyo kila tajiri au mtu maarufu alizaliwa katika mazingira hayo. Wengi wao walianza kujitafuta chini lakini sasa wameuteka ulimwengu kwa majina ...
Mwanamuziki Diamond Platnumz ametajwa kuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki na Kusini kufikisha stream milioni 500 kwenye mtandao wa kusikiliza na kuuza muziki Boomplay.Rekod...
Mwanamuziki wa K-Pop kutoka Korea Kusini, Wheesung, anaripotiwa kukutwa amefariki nyumbani kwake jana Jumatatu Machi 11, 2025. Huku polisi wakichunguza sababu ya kifo chake am...
Hakuna ubishi kuwa MB Dogg ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva ambao muziki wao ulitikisa vilivyo, ngoma zake zililia sana mitaani na kutawala chati karibia zote za...
Msanii wa R&B kutokea Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kama Ne-Yo amethibitisha kuwa yuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi akiwatambulisha wanawake z...
Olipa Assa, MwananchiDar es Salaam. Msanii wa Bongo Fleva wa miondoko ya R$B, Ben Pol anatarajia kuachia wimbo aliofanya na DJ Don Diablo kutoka Ulaya.Mwaka 2016 Diablo alichu...
Mwanamuziki Jose Chameleone ametoa shukrani kwa mashabiki wake, marafiki, na serikali ya Uganda kwa kumuunga mkono na kuwa pamoja naye wakati akipambania afya yake. Chameleone...
Mkali wa hip-hop, Jay-Z amekuwa akiweka wazi kuhusu maisha yake ya awali na uhusiano wake na baba yake, Adnis Reeves ambaye aliikimbia familia. Katika mahojiano aliyofanya hiv...
Moja ya wimbo ambao umekuwa ukikubalika zaidi hasa kipindi cha huzuni ni ‘See You Again’ uliyoimbwa na mwanamuziki Wiz Khalifa akimshirikiana na Charlie Puth.Wimbo...
Msanii wa Bongofleva Harmonize wakati akielekea kutoa dozi ya burudani 'Tukaijaze Nangwanda' itakayofanyika Mtwara, ameandaa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki.Harmonize a...
Wakili wa rapa Tory Lanez, Moe Gangat ameyalalamikia majukwaa ya muziki kuficha Album mpya ya 'Peterson' kutoka kwa msanii huyo akidai kuwa hawataki iingie kwenye trend.Wakili...
Mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Dude ametoa neno baada ya mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga na Simba iliyokuwa imepangwa kuchezwa leo Jumamosi Machi 8, 2025 kwenye Uwanj...
Mkali wa Afrobeat, Davido ameripotiwa kuwa msanii pekee kutoka Afrika kutajwa katika orodha ya muziki ya Mfalme Charles III.Akishirikiana na Apple Music, Mfalme Charles III al...
Mojawapo ya sababu kuu zinazochochea ukuaji wa muziki wa Afrika katika soko la kimataifa inatajwa kuwa ni ushirikiano ‘kolabo’ kati ya wasanii wenyewe kwa wenyewe ...