Baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Ibrah kuweka wazi kuwa yupo tayari kuwekeza nguvu katika muziki wa Singeli, hatimaye msanii huyo ameonesha nia yake hio kwa kutoa si...
Baada ya zaidi ya video 300 za ngono kusambaa katika mitandao ya kijamii za Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) kutoka Guinea ya Ikweta Baltasar...
Msanii wa Hip Hop, Chid Benz amesema ameamua kutembea kwa miguu kutokana na madereva wengi wa bodaboda kuogopa kumbeba wakidhani hatawalipa nauli zao.Chid ambaye aliwahi kutam...
Siku moja baada ya habari kuvuja kuhusu Diddy kuwasilisha ombi la kufuta kesi ya unyanyasaji wa kijinsia iliyofunguliwa na mtayarishaji Rodney "Lil Rod" Jones, dhidi yake, mta...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Chris Brown amemtolea povu msanii Tigo Fariah anayedaiwa kuiga swaga zake na kujinadi kufanana na staa huyo.
Tovuti mbalimbali zimeeleza ku...
Kuzeeka ni mpango wa Mungu ila kuchoka ni kujitakia kauli hii ameitoa Mwigizaji Steven Charles Almasi maarufu kama Dr. Alsmasi baada kuzungumza na Mwananchi Scoop na kufunguka...
Maafisa elimu Marekani wameingi katika uchunguzi wa bango la ubaguzi wa rangi lililomlinganisha nyota wa NBA, LeBron James na tumbili katika tangazo la chakula cha nafaka liit...
Japo siyo mbaya mtu kulinganishwa na mtu mwingine lakini kwa mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini Tyla ameonekana kutopendezwa na suala hilo, hii ni baada ya wadau kuungani...
Baada ya mwanamuziki #Usher kukiwasha katika fainali za ‘Super Bowl’ zilizofanyika katika uwanja wa Allegiant, Nevada na sasa imeripotiwa kuwa mwaka 2025 fainali h...
Bara la Afrika na dunia nzima linasubiri kuona ‘timu’ mbili zitakazoingia kwenye msururu wa mwisho wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON 2023 huku &lsquo...
Baada ya ‘rapa’ Nicki Minaj na #MeganTheeStallion kuingia katika bifu zito kuhusaina na Nicki kufanya mzaha na kaburi la mama mzazi wa Megan hatimaye inadaiwa kuwa...
Baada ya mashabiki na wadau wa muziki kupitia mtandao wa kijamii wa X (twitter) kumtania mkali wa #Afrobeat #Davido kuwa anasauti kama ya chura, #Davido ameamua kukubaliana na...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Waka Flocka amedai kuwa mwanamuziki Doja Cat ndiye Madonna wa zama hizi akimaanisha kuwa maisha anayoishi ‘rapa’ Doja ndi...
Msanii wa bongo fleva Barakah The Prince ameendelea kuuwasha moto kupitia mitandaa ya kijamii na leo amedai kuwa ataweka wazi figisu zote alizowahi kufanyiwa toka mwaka 2016.
...