Baada ya tukio la kutoa mahari lililofanyika mapema Jana Jumamosi Februari 15,2025, hatimaye ndoa ya wawili hao inatarajiwa kifungwa leo kwenye moja ya msikiti uliyopo Mbweni....
Hili ndilo limetokea kwa mwalimu wa mpira wa miguu. Ambaye kwa miongo miwili hii. Soka la ngazi za vilabu duniani, kaliteka na kuliweka chini ya soksi zake.Pep Guardiola kakam...
Baada ya mwigizaji Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Comoro, amefunguka kuwa ni muda wa watengenezaji filamu kujitoa ili kazi zao z...
Imeripotiwa kuwa, Arsenal inakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua beki wa Italia na Klabu ya Bologna, Riccardo Calafiori.
Aidha inaelezwa kuwa, Bologna imeweka dau la pauni...
Mwanamuziki wa Nigeria, #BurnaBoy amedai kuwa hakuna mwandishi wa nyimbo anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yake. Burna Boy ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa X (Zaman...
Katika michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani, imeripotiwa kuwa mwamuzi msaidizi #HumbertoPanjoj aliyekuwa akichezea ‘mechi’ ya Peru na Canada amedo...
‘Rapa’ kutoka Marekani, #JaRule amewakosoa wanaume wanaopendelea kuvaa jeans zilizochanika huku akidai kuwa ni mtindo wa zamani.
Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Mail...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Kizz Daniel ameripotiwa kuachana na mkewe, hii ni baada ya kufuta picha zote akiwa na mama watoto wake huyo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa K...
Staa wa Ufaransa na Real Madrid, Kylian Mbappe anaweza kukosa ‘mechi’ zilizosalia za michuano ya Euro 2024, baada ya kufanyiwa upasuaji wa pua utakaomweka nje kwa ...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘The British Journal of Sports’ umegundua kuwa kukaa chini zaidi ya saa 12 kunaongeza hatari ya kifo cha mapema kwa asilimia 3...
Rapa wa Nigeria #Skales amemtolea povu mkali wa Afrobeats #Wizkid baada ya kudai kuwa muziki wa Hip-hop umekufa.
Skales ametoa povu wakati alipoulizwa swali juu ya Wiz kudai m...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Mr Blue ameweka wazi kuwa umefika muda wa kuachia kazi mfululizo kwa mashabiki wake, huku akiwataka wachague aina gani muziki aanze nao kati ya h...
Baada ya kutokuwa kwenye maelewano kwa muda wa miezi mitano mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity, #KyleWalker na mkewe #AnnieKilner wameonekana kuwa katika hatua...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Yanga Dickson Job amemtania mchezaji mwenzake Mudathiri Yahya kwa kueleza kuwa simu aliyokuwa akitumia Mudathiri kupiga wakati akiwa amefung...