18
Barcelona yamnyatia Dani Olmo
Uongozi wa #Barcelona tayari umeanza kufanya mazungumzo na ‘klabu’ ya #RBLeipzig kwa ajili ya kumchukua mchezaji wa ‘timu’ hiyo #DaniOlmo. Kiungo huyo ...
07
De Bruyne ashika rekodi ya mabao Man City
Kiungo mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #MachesterCity, #KelvinDeBruyne ameingia kwenye orodha ya wachezaji waliofikisha mabao 100 kwenye ‘klabu’ hiyo baada ...
31
Liverpool ya muwinda Amorim
‘Klabu’ ya #Liverpool imeripotiwa kumtaka ‘kocha’ wa ‘klabu’ ya #SportingLisbon, #RubenAmorim ili kuchukua nafasi ya #JurgenKlopp kuifundis...
18
Umuhimu wa mkataba kazini
Niaje niaje wanangu sana, I hope mko guudi kabisa, leo sitowachukulia muda wenu kwa sababu najua wengi wenu mtakuwa mmefunga so manahitaji kupewa vitu laini laini, Leo kwenye ...
21
Kocha Tuchel avunja mkataba na Bayern Munich
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #BayernMunich, #ThomasTuchel amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake, na ‘timu’ hiyo mwezi Juni mwaka huu ambapo...
21
Mbappe akubali kujiunga na Real Madrid
Baada ya siku kadhaa nyuma kutangaza kuondoka katika ‘klabu’ ya Paris St-Germain (PSG) mshambuliaji Kylian Mbappe amekubali kujiunga na Real Madrid msimu mpya utak...
11
PSG haitaki kumuachia Mbappe
‘Klabu’ ya #PSG wamempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao #KylianMbappe ikiwa ni katika njia ya kumzuia asiondoke kwenye dirisha lijalo kujiunga na ‘k...
15
Jesus Moloko hana chake Yanga
‘Klabu’ ya #Yanga imefikia makubaliano ya pande zote mbili kusitisha mkataba na mchezaji #JesusMoloko raia wa #Congo. Kupitia ukurasa wa #Instagam Yanga imeeleza k...
02
Huenda mbappe akakipiga timu moja na Mo Salah
Inadaiwa kuwa ‘Klabu’ ya #Liverpool huenda ikaibuka kidedea katika kuwania saini ya mchezaji kutoka ‘timu’ ya #PSG ya Ufaransa Kylian Mbappé. Kw...
25
Beraldo mambo ni moto PSG
Tetesi zinaeleza kuwa ‘klabu’ ya Paris Saint -Germain (PSG) inampango wa kumpa mkataba na kumfanyia vipimo vya Afya mchezaji wa ‘klabu’ ya #SaoPauloFC,...
12
Kumbukumbu ya Zahara kwenye mapenzi yake kwa muziki
Siku zote mshumaa ukizimika huacha giza, ndicho kilichotokea kwa wadau na mashabiki wa burudani mwishoni mwa mwaka 2023, licha ya kuwa wapo wasanii wengi chipukizi waliojitoke...
30
Kisa usaliti Neymar na mpenzi wake waachana
Mwanasoka kutoka nchini #Brazil, #NeymarJr na mpenzi wake, #BrunaBiancardi wanadaiwa kuwa wametengana mwezi mmoja tu baada ya kupata mtoto wao wa kwanza. Kwa mujibu wa vyombo ...
28
Kanye West ataka kununua mkataba wa Lil Durk
Msanii wa muziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest inadaiwa kuwa anataka kununua mkataba wa #LilDurk baada ya onesho la pamoja walilofanya nchini Dubai. Inaelezwa kuwa Kanye ...
15
Robertinho aacha walaka kwa Dewji, Kuhusu Azizi Ki
Aliyekuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Simba Robertinho ameacha walaka kwa Rais wa timu hiyo, Mohammed Dewji na kumtaka amng’oe Aziz Ki Yanga. Robe...

Latest Post