Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee, ameweka wazi kutorudia kufanya muziki wa kidunia huku akiuhusisha na masuala ya kishetani.Vanessa ameyasema hayo alipokuwa akifa...
Na Peter Akaro
Miaka ya hivi karibu imekuwa siyo jambo geni kusikia nyimbo mpya za Bongofleva zikiwa na vionjo vya nyimbo za kitambo, hilo limekuwa likitoa nafasi kwa nyimbo h...
Kati ya mastaa Bongo walioteka mazungumzo mtandaoni wiki hii, ni Jux, 34, mara baada ya kumtembelea nyumbani kwao Nigeria mpenzi wake mpya, Priscilla Ojo, 23, ambaye ni muigiz...
Licha ya kuwa katika ulimwengu wa burudani, umaarufu na mafanikio mara nyingi hutafsiriwa kama kipimo cha furaha kwa wasanii, lakini wapo baadhi ambao wamekuwa wakiikimbia tas...
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini ambaye kwasasa anaishi Marekani na mpenzi wake Rotimi ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji (Surgery) wa jicho na kuwa kwa sasa anaen...
Mwanamuziki Vannesa mdee, ameonesha kukasirishwa na baadhi ya watu wanaosema vibaya ngozi ya mtoto wake Seven kuwa nyeusi sana.Msanii huyo amevunja ukimya na kuwajia juu wote ...
Na Habiba Mohamed
Hellow niaje niaje! Kama kawaida kila kona kutafuta story moto moto na kukusogezea mdau wetu wa nguvu.Ebwana majina yanaumba mnamkumbuka yule mwa...
Moja ya jambo ambalo msanii Q Chief halimuingi akilini kabisa ni hili la mwanamuziki Saraphina kufananishwa na mwanadada Vanessa Mdee kwenye muziki.
Q Chief anasema Saraphina ...
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Vanessa Mdee amethibitisha kununuliwa nyumba ya kifahari na mpenzi wake ambaye ni Star wa muziki nchini Marekani anayefahamika kwa jina la Ro...
Msanii wa muziki nchini Tanzania ambaye kwa sasa anaishi huko Marekani, Vanessa Mdee ameweka wazi kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili siku za hivi karibuni.
Hiyo imekuja baa...