By Rhobi Chacha Msanii Ibraah ameondoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kusema wamezungumzia migogoro iliyopo kati yake na boss wake Harmonize.Ibraah amezungumza na waand...
Msanii Casandra “Cassie” Ventura aliyewahi kuwa mpenzi Sean “Diddy” Combs jana Mei 13,2025 alitoa ushahidi dhidi ya kesi zinazomkabili Diddy huku mremb...
“Leo ndiyo leo msema kesho muongo”. Msemo huu umebeba maana kubwa kwa wadau wa burudani nchini ambao wanasubiri kusikia hatma ya mzozo wa mwanamuziki H...
Kampuni ya kusaidia matatizo ya Afya ya Akili iliyoanzishwa na mwanamuziki na mwigizaji Selena Gomez mbioni kufilisika, hii ni baada ya kuondoa wafanyakazi tisa mapema wiki hi...
Ni wazi Malaika ni miongoni mwa waimbaji wa kike waliojitokeza kwenye Bongofleva na kufanya vizuri kwa kiasi fulani, ana heshima na historia yake aliyojitengenezea kwenye muzi...
Amebarikiwa sauti nzuri inayokonga nyoyo za wengi ila uchezaji wake ni zaidi ya kuvutio kingine ndani ya Bongofleva, ingawa Phina bado hajatoa EP wala albamu, kazi aliyofanya ...
Nyota wa vipindi vya Televisheni na mjasiriamali, Kim Kardashian leo Jumanne Mei 13, 2025 ameiambia mahakama ya Paris nchini Ufaransa kwamba alidhani angenyanyaswa kimwili na ...
Na Michael Anderson
Zifuate nafasi za kufanikiwa zilipo, usikae ukisubiri zikufuate kama kilimo cha vitunguu ni mbeya, wewe Dar hapakufai nenda uone mambo yanaendaje. K...
Kuvaa stara ni mtindo wa mavazi unaoendana na heshima, maadili na utu. Kuvaa stara siyo tu suala la muonekano wa nje, bali pia ni njia ya kutoa mfano mzuri kwa wengine na kuon...
Halwa ni aina ya kitafunwa kitamu, laini na cha kupendeza ambacho hupatikana katika maeneo mbalimbali duniani, hususan Asia ya Kusini, Mashariki ya Kati, Afrika ya Kaskazini, ...
Mwigizaji wa filamu nchini Salim Ahmed 'Gabo Zigamba' leo Mei 13, 2025, amesema filamu ina nafasi kubwa ya kutoboa kimataifa kuliko muziki.Gabo ameyasema hayo leo Me...
Kesi inayomkabili rapa kutoka Marekani, Sean “Diddy” Combs imesikilizwa jana Mei 12,2025 huku waendesha mashtaka wakiwaita mashahidi wawili, akiwemo afisa wa polis...
Kumekuwa na lawama nyingi kutoka kwa baadhi ya mashabiki na wadau wa muziki zikitupwa kwa wasanii ambao huanza kufanya aina fulani ya muziki na baadaye kubadilika na kufanya a...