Fatma Maruzuku ambaye ni mama mzazi wa Marehemu Hawa Hussen (Carina), amefariki dunia leo June 06,2025 jijini Dar es Salaam.Kaka wa Marehemu amethibitisha kutokea kwa msiba hu...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini ambaye pia ni mkali wa Singeli, D Voice amewataja wasanii ambao anatamani kuwasaini endapo ataanzisha lebo ya Singeli.Wakati alipokuwa kwenye...
Mwigizaji Michael B. Jordan ameeleza kuwa moja ya jambo ambalo analikumbuka siku zote ni ushauri alioupokea kutoka kwa Denzel Washington ambapo alimsihi kuepuka mitandao ya ki...
Baada ya kuwepo kwa tetesi katika mitandao ya kijamii kuwa mwanamuziki Mbosso naye anatarajia kuoa kufuatia na hastag ya ‘RN3’ aliyoiweka katika Instagram yake. Ha...
Jaji wa shirikisho anayeongoza kesi ya ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya ngono dhidi ya Sean "Diddy" Combs, Jaji Arun Subramanian alimbadilikia msanii huyo na majaji wa...
Baada ya kuwepo kwa mijadala katika mitandao ya kijamii kuhusiana na msanii wa singeli Dogo Paten kushindwa kutumbuiza kutokana na sauti yake kuleta shida huku msanii mwenzake...
Mkali wa Pop kutoka katika visiwa vya Barbados, Rihanna ameripotiwa kuwa utajiri wake umepungua kwa kaisi kikubwa kutokana na baadhi ya miradi yake ya kibiashara kutofanya viz...
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa mkali wa Rap kutoka Marekani, Sean "Diddy" Combs, hii ni baada ya mbunifu wa mitindo Bryana Bongolan, ambaye ni rafiki wa karibu (BFF) wa Cassie...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Yammi ameweka wazi kuwa amelipa kiasi cha Sh100 milioni kuondoka katika lebo ya ‘The African Princess’ inayomilikiwa na msanii Na...
Mwanamuziki kutoka Nigeria amewataka mashabiki zake kuacha kumuita mtoto wake wa kike ‘Duduke’.Wakati alipokuwa kwenye mahojiano na ‘VJ Adams’ Simi ame...
Msanii wa Singeli nchini D Voice, ameweka wazi tuhuma alizopewa na msanii mwenzake Meja Kunta kuhusu kumuibia wimbo 'Ex wa Nani' na kumpatia JuxD Voice amesema wimbo...
Ni wiki tatu mfululizo kesi ya Sean "Diddy" Combs inaendelea kusikilizwa mahakamani. Hatimaye shahidi mwingine Eddy Garcia, aliyekuwa mlinzi wa usalama wa hoteli ya InterConti...
Peter Akaro Ukweli ni kwamba video nyingi za muziki wa Bongo Fleva kwa sasa hazina stori yoyote ndani tofauti na hapo awali, waandaji (music directors) na wasanii wenyewe wame...
Peter Akaro Kinachosubiriwa kutoka kwa watu hawa maarufu kutoka kiwanda cha burudani Bongo ni ndoa baada ya kuingia hatua ya uchumba kwa kuvishana pete. Hivyo basi, kwa maana ...