Katika usiku wa ugawaji wa Tuzo za Grammy mwaka 1984 marehemu mkali wa Pop Marekani, Michael Jackson aliwashangaza wengi baada ya kuvua miwani yake mbele ya umati wa watu.Kama...
Wakati wimbo wa mwanamuziki Zuchu aliomshirikisha Diamond ‘Wale Wale’ ukiendelea kufanya vizuri kwenye mitandao ya kusikiliza muziki huku ukishika nafasi ya tatu k...
Ukiwa mtu wa mitandao lazima utakuwa umekutana na picha au video za kutisha zikiwahusisha baadhi ya watu wakiwemo mastaa mbalimbali wakiwa kwenye mionekano ya ajabu. Kawaida p...
Mixtape ya marehemu mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Rich Homie Quan iitwayo ‘I Promise I Will Never Stop Going In’ imeripotiwa kushika namba moja kwenye mtandao w...
Kwa mara ya kwanza nchini kutakuwa na tamasha la kuwakumbuka wasanii waliotangulia mbele ya haki linaloitwa ‘Faraja ya Tasnia’ liliandaliwa na mwigizaji na Mwenyek...
Baada ya mfanyabiashara na mama mzazi wa Kim Kardashian, Krish Jenner kudai kuwa anatatizo la kiafya, sasa mwanamama huyo ameweka wazi kuwa kutokana na tatizo hilo amefanyiwa ...
Shirika la Utangazaji la Munhwa (MBC) nchini Korea limezindua teknolojia mpya itakayo saidia familia kukutana tena na watu wao wa karibu waliyofariki dunia.Ili kutilia maanani...
Na Aisha Charles
Waswahili husema vya kurithi vinazidi, hivi ndivyo naweza kumuelezea mwigizaji wa Bongo movie Abduli Ahmadi Salumu maarufu kama Ben au Selengo, ambaye naweza ...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil aitwaye, Érika de Souza Vieira ameshikiliwa na polisi baada ya kupeleka maiti ya mjomba wake Paulo Roberto Braga (68) benki ili kwen...
Kuna msemo usemao mapenzi ya kweli hayajifichi, msemo huu unajidhihirisha kwa mwanamama Diana Maver, (77) ambaye anaendelea kupokea zawadi za maua katika siku ya Valentine kut...
Baada ya kuhudhuria na kushuhudia ugawajwi wa Tuzo za Grammy 66, zilizofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili, mwanamuziki Rayvanny ameendeleza ziara yake nchini humo na sas...
Aliyekuwa mwanamuziki wa nyimbo za #Raggae kutoka nchini Jamaica #AstonBarrett, maarufu kama ‘Family Man’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77.
Mwanamuziki hu...
Baba wa aliyekuwa mwanamuziki marehemu #AmyWinehouse amewafungulia mashitaka marafiki wawili wa mtoto wake kwa kuuza mali za mwanaye kwa kutumia majina yao mwaka 2021.
&...