Rapa kutoka Canada, Drake amerushiana maneno na mmoja wa wanasiasa nchini humo, Jagmeet Singh baada ya mwanasiasa huyo kuhudhuria tamasha la Kendrick Lamar na SZA lililofanyik...
Mahakama Kuu ya Shirikisho mjini Manhattan, Marekani, iliendelea kushuhudia drama za aina yake katika kesi ya nyota wa muziki Sean “Diddy” Combs, ambaye anakabiliw...
Hali ya mwanamuziki wa Singeli Mussa Ramadhan maarufu ‘Dj Mushizo’ inaendelea kuimarika ikiwa ni siku ya nne tangu apate ajali ya moto na kufikishwa katika Hospita...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Davido ameelezea sababu za kujiondoa kwenye shoo iliyopangwa kufanyika Tottenham Hotspur Stadium jijini London Julai 3, 2025, akisema sababu ...
Moja ya kitu ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa hamu kwenye muziki wa Tanzania ni kumuona msanii mkongwe, anayependwa, na mwenye ushawishi mkubwa kwenye tasnia hiyo, Ali Salehe...
Uhusiano wa mwimbaji wa Pop Marekani, Katy Perry, 40, na mchumbaji wake, Orlando Bloom, 48, ambaye ni mwingizaji wa Uingereza unatajwa kukalia kuti kuvu huku kisirani cha mrem...
Kampuni ya Apple imetoa mwongozo mpya wa usalama ukionya wamiliki wa iPhone kuepuka kuchaji simu zao kwenye mashuka, mito na godoro (kitandani).Kwa mujibu wa Apple, betri za s...
Mtayarishaji na Muongozaji wa Tamthilia inayofanya vizuri katika mtandao wa YouTube ya ‘Dunia’ Issa Madinga maarufu Baba Asma ameweka wazi kukataa mapendekezo kadh...
Filamu 68 zitachuana kuwania tuzo katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) linalotarajiwa kuanza kufanyika Juni 25 hadi 29, 2025.Filamu hizo zilizochaguliwa ni kati ...
Kampuni ya Recording Academy ambao ni wagawaji wa tuzo za Grammys wametangaza mabadiliko katika tuzo hizo kwa mwaka 2026 ambapo watagawanya tuzo ya ‘Best Country Album&r...
Wakati wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wametulia usiku majumbani kwao wakitumia muda huo kupumzika, kwa upande wa mwanamuziki Mbosso usiku wa kuamkia leo Juni 13,2025 u...
Msanii wa Hip-hop nchini, Moni Centrozone amewekawazi sababu inayopelekea kundi lao la MOCO lisiwe na mfululizo mzuri wa kuachia nyimbo.Hii ni kufuatia kutokuwepo kwa mfululiz...
Meneja Msaidizi wa Dj Mushizo, Ally Masupu amesema chanzo cha moto kilichosababisha msanii huyo kupata ajali ya moto ni shoti ya umeme.Mashizo alikumbwa na ajali hiyo jana saa...