Kila ifikapo Januari 22 dunia inaadhimisha Siku ya Kukumbatiana. siku ambayo ilianzishwa mwaka 1986 na mchungaji Kevin Zaborney huku lengo kuu likiwa ni kupeana faraja.Siku hi...
Kutokana na sanaa ya upishi kuwa miongoni mwa mambo yanayoweza kukuza na kuendeleza utamaduni, utalii, na uchumi. Kufuatia madhimisho ya msimu wa tisa wa wiki ya Vyakula vya K...
Mwanamke mmoja aitwaye Vera Liddell (68) ambaye pia alikuwa ni mkurugenzi wa huduma za chakula katika Shule ya Illinois, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa baada ya kukiri kui...
Mwanafunzi aliyeacha masomo katika Chuo kikuu cha Harvard aitwaye Avi Schiffmann kwa mara ya kwanza amevumbua kifaa cha akili bandia (AI) kiitwacho ‘Friend’ kwa le...
Inaripotiwa kuwa ngozi ya kuku inakiwango kikubwa cha mafuta ambayo ni hatari kwa afya ya binaadamu.
Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali duniani zinaeleza kuwa ngozi ya kuku ina m...
Wasanii wa filamu Tanzania wamewasili Korea kwenye ziara yao ya kujifunza mambo ya filamu.
Baadhi ya mastaa wa filamu ambao wapo kwenye ziara hiyo ni Irene Paul, Wema Sepetu, ...
Katika michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani, imeripotiwa kuwa mwamuzi msaidizi #HumbertoPanjoj aliyekuwa akichezea ‘mechi’ ya Peru na Canada amedo...
Mwigizaji kutoka Marekani mwenye asili ya Kenya Lupita Nyongo amelipongeza kundi la vijana la ‘Gen Z’ na wananchi wote nchini humo kwa kuchukua uamuzi wa kuandaman...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Nandy, amesimulia harakati zake za kupambania ndoto zake za kuwa msanii maarufu huku akidai kuwa kuna msanii kutoka kundi la THT alikuwa akimbania....
Mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria, #KukurukuBeats amefunguka na kutoa heshima kwa msanii #Ruger akidai kuwa amemfanya nyota yake ing’ae baada ya msoto wa muda...
Mwigizaji kutoka nchini India, #PriyankaChopra amempa pongezi mumewe #NickJonas na watu wengine walioshiriki kumlea binti yake Malti kwa wakati alipiokuwa katika kazi yake ya ...
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Jamaica, Sean Paul, amefunguka ushirikiano wake na mwimbaji wa pop wa Marekani, Beyoncé ulivyoanzia mpaka ngoma yao ya ‘Baby Boy...
Serikali imeweka wazi kuwa inampango wa kukuza ajira kwa vijana katika sekta ya michezo, sanaa na burudani.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi Juni 13, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mw...