20
Maajabu ya S2kizzy na Diamond  kwenye ‘Holiday’ 
Ni wakati wa mapumziko (Holiday) watu wanatoka kwenda kujivinjari pamoja na familia zao. Kama kawaida mapumziko yanahusisha buruda...
15
S2KIZZY ageukia kwenye Taarabu
Mtayarishaji wa muziki nchini S2kizzy ameweka wazi juu ya uwepo wa kazi na Malkia wa Muziki wa Taarab Khadija Kopa.Zombie amechapisha video kwenye ukurasa wake wa Instagram ak...
14
Wasanii wamzidia S2kizzy, ataka kuongeza studio nyingine
Mtayarishaji wa muziki nchini S2kizzy ametangaza kuongeza studio mbili za kurekodia kutokana na kuelemewa na foleni kubwa ya wasanii wanaohitaji huduma. "Inabibidi niongeze st...
07
Hatima ya Diamond kwenye Tuzo za Grammy kujulikana kesho
Na Asma HamisZimebaki zimebaki saa chache dunia ishuhudie majina ya mastaa watakaowania tuzo kubwa za muziki nchini Marekani 'Grammy', nyota wa ‘Komasava’ Diamond ...
02
Kariakoo ya Maua Sama yafutwa youtube
Mwanamuziki Bongo Fleva nchini Maua Sama alia na watu ambao wameushusha wimbo wake wa ‘Kariakoo’ uliokuwa ukifanya vizuri katika mtandao wa Youtube.Maua muda mchac...
18
Kizz Daniel adaiwa kuachana na mkewe
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Kizz Daniel ameripotiwa kuachana na mkewe, hii ni baada ya kufuta picha zote akiwa na mama watoto wake huyo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa K...
19
Kizz Daniel awatolea uvivu wanaomsema mkewe
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameamua kuwatolea uvivu wanaosema mkewe mbaya.Kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa ‘komenti’ Kizz amekuwa akiw...
08
Kizz Daniel athibitisha kuwa ameoa
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel ameweka wazi kuwa yupo kwenye ndoa kwa miaka minne sasa.Kupitia ukurasa wake wa X (zamani twitter) alithibitisha hilo baada ya sh...
01
Kizz Daniel ajizawadia ndinga
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel amejipongeza kwa kujinunulia gari aina ya ‘Rolls Royce Cullinan’ akisheherekea kutimiza miaka 10 katika muziki.Msanii...
14
Kizz Daniel akanusha kukamatwa Ivory Coast
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Kizz Daniel akanusha taarifa ya yeye kukamatwa nchini Ivory Coast kwa madai ya kuwa alikataa kutumbuiza kwenye show moja nchini humo, licha y...
01
Zuchu ampongeza S2kizzy
Mwanamuziki @officialzuchu atoa pongezi kwa mzalishaji wa muziki anayefanya vizuri nchini @s2kizzy kwa kazi kubwa anayofanya . Zuchu amesema kuwa ni vyema ampatie producer huy...
09
Mzee wa buga kweli ni jipu, angalia matukio alioyafanya mwaka huu
Alooooweeeeh! Alooooohtenaaah! Jamani jamani kumbe kijana wa buga yuko fire kwenye haya matukio kama unavyotujua watu wa bongo yani hatunaga mba mba mba tayari watu washafukua...
09
Wolper: Nimependa alichokifanya mzee wa Buga
Aloooooooooooh! Mama k nae yuko moto bwana hajamua kukaa kimya kwa hili lililo tokea jana la gumzo la mwanamziki anaetamba na nyimbo yake ya Buga ambayo inafanya vizuri kupiti...
08
BREAKING NEWS: Mzee wa “Buga”, Kizz Daniel atiwa mbaroni Dar
Msanii maarufu kutoka Nigeria 🇳🇬 anayetamba kwa nyimbo ya "Buga," Kizz Daniel ametiwa mbaroni leo hii baada ya kushindwa kuf...

Latest Post