21
Mbosso amuenzi King Kikii aimba Kitambaa Cheupe
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Mbosso amemuenzi nguli wa muziki wa dansi marehemu Boniface Kikumbi maarufu King Kikii ambaye alifariki dunia Novemba 15, 2024 kwa kuimba wim...
18
Mwili wa mwanamuziki King Kikii ukiwasili viwanja vya Leaders Club
King Kikii ambaye alifariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 15,2024, nyumbani kwake Mtoni Kwa Aziz Ally jijini Dar es Salaam kwa ugonjwa wa saratani ya ini. Mwili wake unaagwa ...
15
Rais Samia atuma salamu za pole kifo cha King Kikii
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kutokana na kifo cha nguli wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii.Salamu hizo amezitoa k...
15
Hii hapa sababu ya kifo cha King Kikii
Joseph Silumbe ambaye ni mtoto wa marehemu msanii mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu 'King Kikii' amesema baba yake amefariki kwa maradhi ya sarat...
15
King Kikii wa Kitambaa cheupe afariki dunia
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Novemba 15, 2024 akiwa anapatiwa matibabu kati...

Latest Post