Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa siku saba, ameripotiwa kuwekeza mpunga m...
Na Asma Hamis Wakati baadhi ya watu wakienda kwenye vituo vya huduma za afya kupatiwa matibabu ya macho pale yanapopata matatizo, hiyo ni tofauti katika kijiji cha Crnjev...
Tunajua unajua lakini tunakujuza zaidi, wakati Bongo baadhi ya vijana wakijitahidi kuficha hatua za ukuaji (balehe), lakini kwa tamaduni za Kusini mwa Angola hakuna siri kweny...
Mwanamke mmoja kutoka Canada mwenye umri wa miaka 60 aitwaye DonnaJean Wilde, ameweka rekodi ya dunia kwa kupiga push-up nyingi zaidi ndani ya saa moja.Kwa mujibu wa kitabu ch...
Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana.Mfanyabiashara huyo ali...
Licha ya ngoma ya ‘Komasava’ kufanya vizuri duniani kote lakini msanii Diamond Platnumz amegonga mwamba dhidi ya mastaa kutoka Nigeria katika kuwania tuzo za Gramm...
Rapa Daniel Hernandez maarufu 6ix9ine amerudishwa jela kwa siku 30 baada ya kukiuka masharti ya kifungo cha nje alichopewa na Mahakama mwaka 2019.
Mahakama imechukua ha...
Ikiwa imepita wiki moja tangu rapa kutoka jijini Atlanta Marekani, Young Thug kutoka gerezani kutokana na makosa yaliokuwa yakimkabili, hatimaye ameanza kutekeleza adhabu aliz...
Na Asma HamisZimebaki zimebaki saa chache dunia ishuhudie majina ya mastaa watakaowania tuzo kubwa za muziki nchini Marekani 'Grammy', nyota wa ‘Komasava’ Diamond ...
Rapa maarufu nchini Marekani kutokea jimbo la Georgia, Atlanta Jeffery Williams ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Lebo ya Muziki ya YSL ameruhusiwa kirudi nyumbani kwa mashart...
Msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki, maarufu kama Nay Wa Mitego, ameshitakiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa makosa manne yanayohusiana na wimbo wake wa &lsquo...
Mwanamuziki kutoka Marekani ambaye kwa sasa anashikiliwa kwenye gereza la ‘Metropolian Detention Center’, Sean “Diddy” Combs ameripotiwa kugoma kula ch...
Mwanamuziki anayetamba na EP aliyoipa jina la ‘Starter’, Alikiba amewajibu baadhi ya watu wanaodai kuwa msanii huyo ni jeuri.Alikiba amefunguka kupitia mahojiano y...