Meneja Msaidizi wa Dj Mushizo, Ally Masupu amesema chanzo cha moto kilichosababisha msanii huyo kupata ajali ya moto ni shoti ya umeme.Mashizo alikumbwa na ajali hiyo jana saa...
Jina la Taylor Terry huenda si maarufu kwa watu wasiopendelea mitandao ya kijamii, lakini katika ulimwengu wa TikTok mwanadada huyo amekuwa akifuatiliwa zaidi kupitia video za...
Kundi maarufu la muziki wa Bongo Fleva nchini, Mabantu ambao kwa sasa wanatamba na ngoma ya ‘Vibaya’ waliyoshirikishwa na msanii wa Singeli Dogo Elisha, wameweka w...
Mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown ‘Breezy’ ameweka wazi kuwa maisha ya umaarufu yamekuwa na athari kubwa katika afya yake ya akili, huku akieleza kuwa kuna ...
Rapa na mjasiriamali wa mitindo, Kanye West, ambaye anafahamika pia kama 'Ye' amebadilisha tena jina lake na sasa anatambulika kama 'Ye Ye' ikiwa ni miaka ...
Kumekuwa na sintofahamu katika mitandao ya kijamii kufuatia mwanamuziki Abigail Chams, kushindwa kubeba tuzo za BET 2025, tukio lililofanyika hivi karibuni huko Los Angeles, M...
Msanii wa Bongo Fleva, Billnass ametoa ushauri kwa vijana na marafiki zake ambao wanavipaji vinavyohusisha umaarufu lakini bado wanajitafuta huku akiwataka kuwa wastamilivu na...
Mwanamuziki wa Canada, The Weeknd ameandika historia mpya ‘MetLife Stadium’, Marekani kwa kuwa msanii wa kwanza wa kiume mweusi aliyeingiza pesa nyingi zaidi kweny...
Timu ya wanasheria wa msanii R. Kelly imewasilisha ombi la dharura kutaka msanii huyo aachiliwe mara moja kutoka gerezani na apewe kifungo cha nyumbani, hii ni baada ya maisha...
Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya ‘The African Princess’ Nandy amethibitisha kupokea kiasi cha Sh100 milioni kutoka kwa aliyekuwa msanii wake Yammi kama asante na ...
Lebo ya muziki nchini, Bxtra Record imetoa taarifa kwa umma kufuatia madai yaliyotolewa na msanii wao, Cherry ambaye jana June 9, 2025, alishiriki ujumbe wa wazi kufuatia na m...
Mfanyabiashara Zari The Boss Lady ambaye pia ni mzazi mwenza wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametia neno kufuatia ndoa ya Zuchu na Simba huku akiwapongeza kwa hatua...