31
Rick Ross atakiwa kulipia ada ya mtoto zaidi ya sh 500 milioni
Moja ya stori inayoendelea kusambaa kupitia mitandao ya kijamii ni kuhusiana na aliyekuwa mpenzi wa ‘rapa’ Rick Ross aitwaye Tia Kemp kutaka kiasi kikubwa cha pesa...
21
P Diddy atimiza ahadi ya kuchangia dola milion 1
Baada ya ‘rapa’ #PDiddy kutangaza katika Tuzo za #BET za 2022 kuwa atatoa dola milioni 1katika Chuo Kikuu cha #Howard, hatimaye ametimiza ahadi hiyo ambapo alikabi...
21
Rushaynah : Harmonize sio mpenzi wangu
Baada ya video na picha za aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah na Harmonize kusambaa kwenye mitandao ya kijamiii, huku wengi wakidai kuwa wawili hao huwenda wakawa wapenzi...
05
Tate afutiwa kifungo
Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Marekani Emory Andrew Tate III ameshinda rufaa ya ‘kesi’ ya ubakaji, biashara ya binadamu na unyanyasaji wa ki...
12
John Gotti afanya fujo ulingoni
Usiku wa kuamkia leo katika pambano dhidi ya Floyd Mayweather na John Gotti III lilofanyika Florida nchini Marekani lilisitishwa baada ya uamuzi tata kusababisha vurugu kubwa ...
02
Waliopinga utawala wa Mfalme Mswati wahukumiwa jela miaka 20
Mahakama kutoka nchini Eswatini imewakuta wabunge wawili na hatia ya mauaji na ugaidi kwa jukumu lao katika wimbi la maandamano yaliyoikumba nchi hiyo mwaka 2021. Mduduzi Bace...
12
Viatu vya Jordan kuuzwa Zaidi ya dola million 2
Viatu vya mchezaji maarufu wa kikapu Michael Jordan, Air Jordan XIIIs vilivyovaliwa katika fainali za NBA mwaka 1998 vimeuzwa kwa dola milioni 2.2  Pea moja ya viatu vya ...
10
Trump atabiri vita ya tatu ya dunia
Rais wa zamani wa Marekani Donald John Trump,  aliyetumikia kiti cha Urais kuanzia Mwaka 2017 mpaka 2021 siku ya Jana amezua Gumzo baada ya Kuandika "WORLD WAR III" kweny...
10
Kijana akamatwa baada ya kumrushia yai Mfalme Charles III
Mwanamume mmoja amekamatwa baada ya mayai kurushwa kwa Mfalme na Malkia Consort wakati wa ziara ya York, Uingereza. Kijana huyo mwenye miaka 23, alisikika akipiga kelele "nchi...
09
Mke wa King Charles III ni nani Mjue Malkia mpya wa Uingereza
The Queen Consort Camilla (zamani alikuwa ni HRH The Duchess of Cornwall) anamuunga mkono mume wake, ambaye zamani alikuwa The Prince of Wales, ambaye sasa ni Mfalme, katika k...

Latest Post