27
Jengo lililojengwa kwa zaidi ya miaka 140 kukamilika 2026
Jengo maarufu la Kanisa liitwalo ‘Basilica La Sagrada Familia’ lililopo jijini Barcelona nchini Uhispania linatarajiwa kukamilika rasmi mwaka 2026 baada ya kujengw...
21
CEO wa Man City atimkia Man United
‘Klabu’ ya #ManchesterUnited imemteua aliyekuwa CEO wa ‘klabu’ ya #ManCity, #OmarBerrada kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mpya katika ‘timu’ hiyo a...
15
Miwani ya Meta yenye uwezo wa kuona na kusikia
CEO wa Meta Mark Zuckerberg akionesha uwezo wa miwani inayotumia akili bandia (AI) katika kumsaidia kazi mbalimbali. Miwani hii inafahamika kwa jina la Ray-Ban Meta, ambayo Ma...
07
Kocha wa Nottingham akalia kuti kavu
‘Klabu’ ya #NottinghamForest inadaiwa kuwa ipo mbioni kumfuta kazi mwalimu #SteveCooper kufuatia kipigo cha magoli 5-0 dhidi ya timu ya #Fulham kwenye mchezo wa Li...
18
Malkia Letizia ndani ya ‘fainali’ kombe la dunia la wanawake
Malkia Letizia kutoka nchini Hispania anatarajia kusafiri kuelekea Austaria kwa ajili ya kutizama ‘mechi’ ya fainali z...
10
Boti iliobeba wahamiaji 200 yapotea majini
Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya Wiki moja iliyopita. ...
22
Vinicius Jr: Hispania ni nchi ya wabaguzi wa rangi
Nyota kutoka klabu ya Real Madrid Vinicius Jr amesema hayo baada ya mashabiki kumtolea kauli za kibaguzi wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia &n...
09
Uhispania yamtimua kocha Luis Enrique
Timu ya taifa ya Uhispania imemfuta kazi Luis Enrique baada ya nchi hiyo kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia kwa kufungwa na Morocco hatua ya 16 boraUhispania ambayo pi...
23
Wachezaji 15 wa timu ya taifa ya wanawake Uhispania wajiuzulu
Duuuuh! Katika viunga vya michezo nako ni balaa tupu ambapo wachezaji 15 wa timu ya taifa ya wanawake ya Uhispania wamejiuzulu wiki chache baada ya minon'gono ya kuwepo kwa mg...

Latest Post