Mchekeshaji Frank Patrick 'Molingo' Mkazi wa Wilaya ya Chato mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Desemba 10,2024.Taarifa ya kifo chake imetolewa na Mudi Msomali,...
Wataalamu wa utafiti, mkakati na data ‘Statista’ wametoa orodha ya nchi zinazozalisha filamu huku nchi ya Tanzania ikishika namba nne kati ya nchi 10 barani Afrika...
Siku za hivi karibuni huwenda mambo ni rahisi kwa wasanii wa vichekesho baada kuyakimbiza maudhui yako katika mitandao ya kijamii kama YouTube tofauti na ilivyokuwa zamani.
Ak...
Mwanamuziki wa Nigeria, #BurnaBoy amedai kuwa hakuna mwandishi wa nyimbo anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yake. Burna Boy ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa X (Zaman...
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B ameshitakiwa na wasanii wawili nchini humo kwa madai ya kutumia baadhi ya mistari yao katika wimbo wake wa ‘Enough’ bila kuwapa taa...
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya, Shilole amesema kukosea kwake kuzungumza Kiingereza huwa anafanya makusudi ili watu wacheke.
Shilole anayejishughulisha pia na bias...
Mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria, #KukurukuBeats amefunguka na kutoa heshima kwa msanii #Ruger akidai kuwa amemfanya nyota yake ing’ae baada ya msoto wa muda...
Baada ya mpenzi wa mchekeshaji Eric Omondi, Lynne Njihia kudai kuwa polisi wamekataa kuhusika na tukio la kumkamata Omondi, hatimaye mchekeshaji huyo ameachiwa huru.Kwa mujibu...
Mwanamuziki kutoka Marekani Card B ametunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni katika usiku wa tuzo za ‘Hollywood Unlocked Impact Awards’ zilizotolewa siku y...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limetangaza mfumo rasmi utakaotumika kuwasilisha kazi katika tuzo za muziki Tanzania (TMA).
Akizungumza na waandishi wa habari, leo Aprili 1...
Mwanamuziki Zuhura Othman (Zuchu) ameandika rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki kuwa na video moja iliyofikisha idadi ya watazamaji milioni 100 katika...
Kutokana na kuwepo kwa mpango wa kutengenezwa filamu ya mfalme wa Pop Michael Jackson (MJ) huku akisakwa mtu ambaye atafanana na kuwa na miondoko kama msanii huyo, hatim...
Kampuni ya teknelojia kutoka nchini China, ‘Betavolt’ kwa mara ya kwanza imetengeneza ‘betri’ kwa ajili ya simu janja ambazo zitakuwa zikidumu na chaji...