30
Mashabiki washambulia basi la wachezaji kwa mawe
‘Mechi’ kati ya ‘klabu’ ya #OlympiqueMarseille dhidi ya ‘klabu’ ya #OlympiqueLyon imeghairishwa baada ya basi la Lyon kushambuliwa kwa mawe...
19
Mo Salah aomba viongozi kuingilia vita ya Palestina na Israel
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #LiverPool #MoSalah ametoa wito kwa viongozi wote duniani akiwataka kukutana pamoja kutoa msaada wa haraka wakati wa mzozo kati ya Israel na...
13
Wanaharakati wa upinzani wafunguliwa mashtaka, Zimbabwe
Wanaharakati 39 wa upinzani wanaoshutumiwa kwa kuzua ghasia za kisiasa nchini Zimbabwe wamefunguliwa mashtaka kuhusiana na madai ya kuharibu ofisi ya chama tawala (ZANU-PF) si...
28
Kombe la Dunia lazua Ghasia Ubelgiji baada ya timu ya taifa kushindwa na Morocco
Polisi wa Ubelgiji wametumia nguvu kuyatawanya makundi ya watu katika mji mkuu Brussels katika ghasia zilizozuka kufuatia timu ya ...

Latest Post