Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii bora wa hip-hop wa muda wote huku jina la Kendrick likitokea kama msanii wa pili kwenye orodha hiyo.Orodha hiyo ambayo ilikuwa imesh...
Mwanamieleka wa Marekani John Cena ametangaza kustaafu kushiriki mashindano ya World Wrestling Entertainment (WWE) usiku wa kuamkia leo.
Kwa mujibu wa tovuti ya Forbes Cena am...
Baada ya washukiwa watano kati ya saba wanaohusishwa kuhusika na kifo cha ‘rapa’ Kiernan Forbes maarufu AKA kuomba dhamana mwezi uliyopita, na sasa dhamana hiyo im...
Bilionea maarufu kutoka nchini Australia, Clive Palmer (69) ameripotiwa kutaka kutengeneza meli mfumo sawa na Titanic iliyozama mnamo mwaka 1912 ikiwa na zaidi ya watu 2,200, ...
Baada ya washukiwa wa mauaji ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, AKA kukamatwa na kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi jiji Durban siku ya jana Februari 29, baba mzaz...
Ikiwa imepita siku moja tangu jeshi la polisi nchini Afrika Kusini kutangaza mbele ya waandishi wa habari kuwa limewakamata watu sita wanaotuhumiwa kwa mauaji ya rapa, Kiernan...
Baada ya uchunguzi kufanyika kwa takribani mwaka kufuatiwa na kifo cha ‘rapa’ AKA hatimaye polisi nchini Africa Kusini imetoa taarifa ya kuwakamata watu sita ambao...
Mfalme wa Pop Duniani Michael Jackson ameongoza orodha ya #Forbes ya watu mashuhuri 13 waliofariki wanaolipwa pesa nyingi zaidi, ambapo mapato yeke yanayokadiriwa kuwa dola 11...
Nyota mashuhuri wa mpira wa kikapu Michael Jordan anadaiwa kuingia kwenye orodha ya watu 400 matajiri zaidi Marekani ambao huandikwa kwenye orodha inayoheshimika ya Forbes 400...
Baada ya ukimya wa muda mrefu kuhusiana na ‘kesi’ ya mauaji ya msanii kutoka South Afrika Kiernan Forbes maarufu kama AKA hatimaye bastola iliyotumika kumutoa uhai...
Rapper mkongwe wa Marekani 5O Cent ameweka wazi kuwa haiwezi kutokea akawa na watoto wengi kama ilivyo kwa muigizaji, mchekeshaji na mtangazaji Nick Cannon ambaye hadi sasa an...
Waziri Mkuu wa Gauteng Panyaza Lesufi nchini Afrika Kusini alimuomba Rais Cyril Ramaphosa ruhusa ya kumpa rapa aliyeuawa Kiernan Forbes, maarufu kama AKA, mazishi ya kitaifa
V...
Moja ya story inayobamba mitandaoni ni ya Tanzania kutajwa kuwa ni miongoni mwa maeneo salama na mazuri kutembelea duniani kwa mwaka 2022.
Hii ni kwa mujibu wa maoni yaliyokus...