14
CR 7 Adaiwa Kujiandaa Na Kombe La Dunia 2030
Nyota wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Al-Nassr, ameripotiwa kuwa huwenda akashiriki Kombe la Dunia mwaka 2030.Kwa mujibu ...
06
Ronaldo aweka rekodi mpya, afikisha mabao 900
Staa wa soka dunia Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 900. Ronaldo amefikisha idadi hiyo ya mabao baada ya jana kuifungia timu yake ya...
07
Messi aongoza wachezaji wanaomiliki ndinga ya gharama
Ikiwa zimepita siku chache tangu tovuti mbalimbali kuorodhesha wanasoka wanaolipwa zaidi huku CR 7 akiongoza orodha hiyo na sasa umewekwa mkeka wa nyota wa michezo ambao wanam...
06
Komenti ya CR7 yavunja rekodi
Komenti ya mchezaji wa ‘klabu’ ya #AlNassr Cristiano Ronaldo akimpongeza Kylian Mbappé kupitia mtandao wa Instagram yaweka rekodi ulimwenguni kwa kupata lik...
04
Mastaa wa soka wanaoongoza kwa wafuasi Instagram
Baada ya kuachiwa kwa orodha ya wanasoka wanaolipwa zaidi, fahamu kuwa wapo nyota wengine wa michezo ambao wanaogoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao wa Instagram.Orodha h...
28
CR7 aweka rekodi mpya ligi Saudia
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Nassr kutoka Saudi Arabia Cristiano Ronaldo ameendeleza ubabe katika ligi kuu nchini humo baada ya kuweka rekodi mpya katika ‘mechi...
19
Tatu bora wanamichezo wanaolipwa zaidi duniani
Michezo inaonekana kuendelea kuwanufaisha watu waliojikita kwenye tasnia hiyo. Katika kulithibitisha hilo jarida la Forbes limetoa orodha ya wanamichezo wanaolipwa zaidi dunia...
17
Ronaldo hataki kupigiwa simu usiku
Mchezaji wa ‘klabu’ kutoka Saudi Arabia ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo ameweka wazi kuwa hapendi kuongea na simu ifikapo saa nne au tano usiku huku akitaja sababu ...
02
Georgina ampa heshima Cr7
Mpenzi wa mchezaji Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez ameonesha kum-sapoti, na kumpa heshima mpenzi wake huyo kwa kuvalia vazi lililoandikwa jina la CR7 katika maonesho ya ...
29
Cr7 afungiwa mechi moja
Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Ureno na ‘klabu’ ya #AlNassr kutoka Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo amefungiwa ‘mechi’ moja ikiwa kama adhab...
10
Saudia hawana ubahili kwenye soka
Muanzilishi wa kampuni ya ‘FutBolJobs’ Valentin Botella Nicolas, kutoka nchini Saudi Arabia amepanga kusajili wachezaji wapya kwa ajili ya ‘ligi’ daraj...
05
Ronaldo ashinda tuzo mfungaji bora 2023
Nyota wa ‘klabu’ ya Al Nassr FC kutoka Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo ameibuka kidedea kwa kushinda Tuzo ya Maradona kutoka Globe Soccer kama mfungaji bora kwa mw...
27
Cr7 anaongoza kwa mabao 2023
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Alnassr #CristianoRonaldo anaongoza kuwa na mabao mengi kwa mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 38 Inaelezwa kuwa nyota huyo wa soka amefung...
09
Gavana aliyeenda kutazama mechi aliyocheza ronaldo atakiwa kujiuzulu
Gavana wa Japan, aitwaye Kengo Oishi ambaye alienda kumuona Cristiano Ronaldo akicheza katika mechi kati ya Al Nassr FC na PSG Jul...

Latest Post