17
‘Calm Down’ ya Rema bado haijaisha makali
Wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Rema ‘Calm Down’ umeweka historia ya kuwa wimbo wa kwanza wa Afrika kuingiza bilioni 1 zinazohitajika nchini Marekani. ...
22
Calm down ya Rema na Romez yaendelea kuupiga mwingi
'Kolabo' ya wimbo wa ‘Calm Down’ uliofanywa na mwanamuziki kutoka Nigeria #Rema na #SelenaGomez imeendelea kuupiga mwingi kupitia chats mbalimbali, kwa sasa unataj...
08
Calm Down remix yaendelea kung’ara
Remix ya wimbo wa msanii kutoka Nigeria, #Rema aliyo mshirikisha #SelenaGomez, ya ‘Calm Down’ imefikisha jumla ya watazamaji milioni 701 mjini #YouTube. Wimbo huo ...
20
Rema na Selena Gomez wajipata Spotify
Baada ya wimbo wa Calm down remix kutoka kwa Rema na Selena Gomez kufanya maajabu ya kuwa na wasikilizaji na watazamani wengi, huku ukibeba tuzo ya MTV hatimaye mtandao wa Spo...
13
Calm Down yaendelea kuwapaisha Rema na Serena Gomez
Kutokana na ngoma ya Rema na Serena Gomez kufanya vizuri duniani kote hatimaye wawili hao wameshinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats kupitia wimbo wa...
13
Rema siyo mchoyo awapa shavu, Burna Boy, Wizkid, Fela Kuti, Davido
Baada ya wimbo wa Calm Down Remix kushinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats nyota wa muziki kutoka Nigeria Rema atoa shukrani kwa waliyo mfungulia mla...

Latest Post