Kila mwaka, watu duniani kote wanasherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa njia mbalimbali. Mojawapo ya desturi maarufu ni kuwasha mishumaa kwenye keki na kisha baadaye ku...
Watoto saba wa mkali wa Hip Hop kutoka Marekani ambaye kwa sasa yupo gerezani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono, jana Novemba 4, wamesheherekea siku ya kuzaliwa kwa baba ya...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Davido, alikuwa mmoja wa wasanii ambao walihudhuria katika sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Uholanzi...
Ikiwa imepita siku moja tuu tangu mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo, kujibuwa ‘komenti’ na Rais Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya Mtangazaji Salama Jabir, amb...
Tanasha Donna, ambaye ni mzazi mwenzie Diamond, amedhihirisha kuwa hana ubaya na mama mzazi wa msanii huyo baada ya kutuma zawadi za birthday kwa mama Dangote.
Katika zawadi h...
Si jambo la kawaida kwa familia kusherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa siku moja ya tarehe na mwezi wakufanana, wanandoa Jose Ervin na Scierra Blair kutoka Ohio wamejikuta kwen...
Hey guyz mambo zenu, najua wengi wenu mtashangaa kwanini nimekuja na mada hii katika biashara, hivi mnajua mitaani humo nimekuta stori nyingi sana kuhusu watu kujua kupika kek...
Ikiwa imetimia takriban miezi sita tangu Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo ni siku yake ya kuzaliwa na ametimiza umri wa m...