Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid ameandika historia nyingine katika tasnia ya muziki wa Afrobeats kwa kuachia albamu yake ya sita leo Novemba 22, 2024 iitwayo ‘Morayo&rsquo...
Na Asma HamisZimebaki zimebaki saa chache dunia ishuhudie majina ya mastaa watakaowania tuzo kubwa za muziki nchini Marekani 'Grammy', nyota wa ‘Komasava’ Diamond ...
Mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kukamatwa na polisi New York kufuatia tuhuma za kujihusisha na unyanyasaji wa ngono na biashara za madawa ya kulevya.Kwa muj...
Wimbo wa Diamond Platnumz unaotamba hivi sasa uitwao Komasava, umeingia kwenye chati maarufu za muziki nchini Marekani ziitwazo USA Billboard na kuweka rekodi.Komasava umeingi...
Mwanamuziki wa Africa Kusini, Tyla ambaye alijulikana zaidi kupitia wimbo wake wa ‘Water’ ameendelea kufanya vizuri kupitia ngoma zake, hii ni baada ya albumu yake...
Wimbo wa marehemu Tupac Shakur uitwao ‘Hit Em Up’ umetajwa na Billboard kuwa ndiyo wimbo bora wa muda wote huku ukishika nafasi ya kwanza katika tovuti hiyo.Kwa mu...
Wakati bifu la wanamuziki kutoka Marekani Drake na Kendrick Lamar likiwa limepowa kwa muda, ‘rapa’ Lamar anaendelea kukimbiza na kuonesha ubabe katika chati za Bil...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Taylor Swift ameutawala mtandao wa Billboard Hot 100, baada ya nyimbo zake 10 kuingia katika chati ya Billboard Top 10, ngoma hizo pia zipo ...
Album ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini Tyla iitwayo ‘TYLA’ kwa mara ya kwanza imeshika namba moja kwenye chart za ‘Billboard World Album Chart’, huk...
Mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kanye West anaripotiwa kuwa na mipango ya kufanya ziara ya dunia miezi michache ijayo.Kwa mujibu wa tovuti ya #Billboard, Ka...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Fireboy DML, ameukosa muziki wa #Afrobeat kwa kudai kuwa muziki huo hauna mtiririko mzuri wa uandishi baada yake unabebwa na ‘vaibu&rsq...
Wimbo unaoendelea kuupiga mwingi katika platiforms mbalimbali wa mwanamuziki Beyonce, ‘Texasholdem’ umeshika namba moja katika chati za Billboard 100 kwa mara ya k...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tems ameendelea kuonesha makali yake katika kusukuma muziki kwenye mataifa mbalimbali, sasa ametangazwa mshindi kwenye Tuzo za Billboard Woma...
'Kolabo' ya wimbo wa ‘Calm Down’ uliofanywa na mwanamuziki kutoka Nigeria #Rema na #SelenaGomez imeendelea kuupiga mwingi kupitia chats mbalimbali, kwa sasa unataj...