Mwanamuziki kutoka Kenya ambaye ameshinda tuzo ya Trace Award katika kipengele cha msanii bora Afrika Mashariki, Bien amemkingia kifua Marioo baada ya wadau na muziki kumnanga...
Mwanamuziki wa Bongo fleva nchini Rayvanny ametangaza kufunga ndoa mwezi wa Tano na mpenzi wake wa muda mrefu Fahyma.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Vanny Boy ameshare picha y...
Katika pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii mapema leo Februari 26, 2025 nikakutana na video inayomuonesha mwanamuziki Alikiba akisalimiana na Harmonize kwa kukumbatiana ...
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya ambaye alijulikana zaidi kupitia kundi lililovunjika la ‘Sauti Soul’ amefunguka jinsi msanii wa Bongo, Marioo alivyomfundisha mbinu...
Ni miaka saba sasa tangu Marioo aachie wimbo wake wa kwanza 'Dar Kugumu'(2018). Licha ya kuwa wakati msanii huyo anaingia kwenye game aliwakuta nyota wengine waking'ara kama v...
Mwanamuziki kutoka Kenya, Bien Baraza anayetamba na wimbo wa ‘Extra Pressure’ aliyoshirikishwa na Bensoul amekoshwa na singeli ya ‘Wivu’ inayotamba kat...
Baada ya kusubiliwa kwa hamu orodha ya ngoma zilizopo kwenye albumu ya mwanamuziki Marioo, hatimaye orodha hiyo imeachiwa rasmi huku mwanamuziki wa Nigeria Patoranking akiwa n...
Baada ya mwanamuziki Marioo kutua nchini Kenya na kupokelewa kwa shangwe, ameingia studio na msanii Bien.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Marioo amechapisha picha akiwa na msan...
Mama mzazi wa mwanamuziki kutoka nchini Kenya Bien, amemfanyia surprise mwanaye, baada ya kupanda jukwaani alipokuwa akitumbuiza katika show yake ya kwanza tangu atoe albumu y...